Dormant Account
JF-Expert Member
- Apr 5, 2022
- 11,307
- 32,796
Ila clean shit ishakua ngumu aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hawa watoto Vin na Rodrigo wamekua kisangaReal Madrid 4-1 RCD Mallorca
Vijana wamekuwa na wameimarika, unaona kabisa jitahada zao., walitugharimu pesa nyingi, so acha tu enjoy kazi zao.Hawa watoto Vin na Rodrigo wamekua kisanga
Kroos na Mendy wote hawakuruka, bahati mbaya zaidi Mendy ndio kabisa aliusindikiza kwa macho., bado kwenye u linz hatujasimama vizuri.Ila clean shit ishakua ngumu aisee [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vinicius ni msumbufu sana na anakimbiza sana, ila Rodrigo amechagua kutokuwa mkimbizaji sana,bali ktuumia akili nyingi sana kufunga magoli ambayo hayatabiliki .Hawa watoto Vin na Rodrigo wamekua kisanga
Hivi tetesi za Real Madrid za kutaka kumsajiri Nicolo Zaniolo kama mrithi wa Modrich pale atakapoondoka Madrid, watakuwa wamelamba dume au wamepigwa? Maana inasemekana Don Carlo Ancelotti anamkubali sana.
Vinicius ni msumbufu sana na anakimbiza sana, ila Rodrigo amechagua kutokuwa mkimbizaji sana,bali ktuumia akili nyingi sana kufunga magoli ambayo hayatabiliki .