Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,763
- 6,522
Mkuu Mariano ni tatizo kubwa, yule jamaa ni mbinafsi sijawahi ona, kinachomfanya abaki clubini licha ya kutopewa nafasi ni mshahara wake man, hataki kulipwa pungufu ya mshahara anaopata kwasasa, msimu uliopita club ilifikia makubaliano na Rayo Vallecano, ila jamaa akachomoa kwa kuwa jamaa hawakuwa tayari kumpa mshahara anaolipwa kwasasa.,Casemiro kuondoka kwa mimi naona ni sawa,kwa sababu ameshinda kila kitu kwa ngazi ya club akiwa madrid hapa,ni wakat muafaka wa yeye kutafuta hela sasa zakustafu...huyu Mariano sijui kwa nini huwa tunamuweka kikosini,awekwe sokoni.
Ni kweli kabisa, Hata Ancelotti atakuwa amemwelewa kwenye angle hiyo, kuwa hakuna dalili ya yeye kupiga tena mpunga mrefu siku za usoni,ndio maana akashindwa kuchomoa hii nafasi aliyoipata.Ukiangalia Casemiro ameshafika kwenye peak na kwa club yetu hakuna ambacho hajashinda,so kind hata ile morali inakuwa imeshuka...lakini pia kwa misimu miwili hii ukiangalia vizuri utaona hata kiwango chake kimeshuka kias flan...ni wakat muafaka kwa yeye kuondoka lakini pia ili club iweze kuwatumia hawa vijana waliosajiliwa vizuri,tuna kundi kubwa sana la vijana ambao wanaweza cheza namba yake.
Umewahi kuiona madrid yenye claude makelele au ulisimuliwa. Tuliofanikiwa kuiona ngoja tukae kimya utuambie wewe.
unaizungumzia ile mechi moja je baada ya kumuuza makelele nini kilifuata. Na kabla hajauzwa moto wa real madrid uliuona.Wakati Real anakula kipigo cha mbwa koko na cha aiabu kutoka kwa Juventus ya akina del Piero na Nedved je Makelele hakuwepo kwenye timu muda ule?
kile kipigo ndicho kilichomaliza ubabe wa real ulaya kwa zama zile.
unaizungumzia ile mechi moja je baada ya kumuuza makelele nini kilifuata. Na kabla hajauzwa moto wa real madrid uliuona.
Humjui claude makelele na role aliyoicheza pale madrid. Ungeijua usingemdharau.moto wa real uliishia kwneye kile kipigo, haikuogopewa tena baada ya pale.
Na Huyo Makelele hakua starter kwenye timu kwa zaidi ya miaka mitatu tu, alianza kucheza baada ya kuondoka kwa redondo kwenye timu.
Humjui claude makelele na role aliyoicheza pale madrid. Ungeijua usingemdharau.
Second half was near perfect
Mkuu, ku control mchezo kwetu ina maana kufunga, ama kupata magoli, ishu ya umiliki wa mpira wala sio ishu sana kwa Ancelotti., kila game huwa ana namna ya kuingia, Hawa Celta ni watundu sana kwenye kuchezea mpira haswa wakiwa kwao, so ili kuenda nao Sawa ina maana ni kuwafunga.Bado tuna tatizo la ku control mchezo.
Hazard ndio tu katuangusha, tulitakiwa tuwapige jamaa Tano kabisa.Na ndio huwa kipindi chetu cha ushindi
Kwa umri alionao na vitu anavyofanya uwanjani ni hatari sana, unatamani aendelee kucheza tu., ile pasi ya goli la Vinicius Jr ni hatari sana., bado anahitajika sana ndani ya kikosi, acha tuendelee kufurahia kipaji alichopewa.,Babu modric anazeeka na utamu wake katupia chuma Cha pili
Mkuu uliangalia mechi? Especially kipindi cha kwanza?Mkuu, ku control mchezo kwetu ina maana kufunga, ama kupata magoli, ishu ya umiliki wa mpira wala sio ishu sana kwa Ancelotti., kila game huwa ana namna ya kuingia, Hawa Celta ni watundu sana kwenye kuchezea mpira haswa wakiwa kwao, so ili kuenda nao Sawa ina maana ni kuwafunga.