Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Klabu ya FC Barcelona imeruhusu harusi kuandaliwa kwenye uwanja wao wa Camp Nou kwa gharama ya kuanzia euro 1, 600 hadi euro 13, 500

Pia Barcelona imeruhusu mashabiki kukodi uwanja huo kucheza kwa dakika 60 kwa kiasi cha euro 300 kwa kila mtu kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.

Barcelona ipo kwenye wakati mgumu kiuchumi ambapo hadi sasa wameshindwa kutangaza usajili mpya wa Andreas Christensen kutoka Chelsea na Franck Kessie kutoka AC Milan kwa sababu watavuka kiwango cha kisheria cha Laliga cha mishahara.

Barcelona wamekuja na mpango huo ambao utaanza rasmi Juni 6 hadi Julai mwaka huu kwa mashabiki kucheza ndani ya uwanja wa Camp Nou.

#KitengeSports

Papa PEREZ saidia umbwa hizi maana watashuka daraja kwenda segunda division
 
Outperformed by Mess on what exactly?? . The last thing I remember is the penalty Mess missed vs Real madrid...

Compare Mess with players like Lukaku. He is on that level nowadays.. Even 36 y/O Modric is way way better than him.
Wanasema chizi akibeba nguo zako akakimbia nazo, na wewe ukaamua kumkimbiza ukiwa uchi, basi wewe ndio utaonekana chizi zaidi.

Kwa ulichokiandika, umeonyesha vile umeamua kunitoa ufahamu kama huyo mwehu uliemquote!
 
Klabu ya FC Barcelona imeruhusu harusi kuandaliwa kwenye uwanja wao wa Camp Nou kwa gharama ya kuanzia euro 1, 600 hadi euro 13, 500

Pia Barcelona imeruhusu mashabiki kukodi uwanja huo kucheza kwa dakika 60 kwa kiasi cha euro 300 kwa kila mtu kwa lengo la kujikwamua kiuchumi.

Barcelona ipo kwenye wakati mgumu kiuchumi ambapo hadi sasa wameshindwa kutangaza usajili mpya wa Andreas Christensen kutoka Chelsea na Franck Kessie kutoka AC Milan kwa sababu watavuka kiwango cha kisheria cha Laliga cha mishahara.

Barcelona wamekuja na mpango huo ambao utaanza rasmi Juni 6 hadi Julai mwaka huu kwa mashabiki kucheza ndani ya uwanja wa Camp Nou.

#KitengeSports

Papa PEREZ saidia umbwa hizi maana watashuka daraja kwenda segunda division
Source ni Kitenge sports?

Kwani nyie wenzetu mnatumia kiungo gani kufikiri?
 
Official Announcement: Pablo Laso​

Real Madrid C. F. confirm our coach Pablo Laso has been admitted to the Sanitas La Moraleja University Hospital after suffering a heart attack in the early hours of this morning

Animo Laso 🙏
 
Source ni Kitenge sports?

Kwani nyie wenzetu mnatumia kiungo gani kufikiri?
Kisu kimegusa mfupa. Sifa ziliwaponza sasa kuleni jeuri yenu. Mungu wenu na rais aliyepita amewaponza. Bado hamjaanza kukodisha masufuria sisi waanswar tuje tukodi eid ijayo. LoL
 
Wanasema chizi akibeba nguo zako akakimbia nazo, na wewe ukaamua kumkimbiza ukiwa uchi, basi wewe ndio utaonekana chizi zaidi.

Kwa ulichokiandika, umeonyesha vile umeamua kunitoa ufahamu kama huyo mwehu uliemquote!
Pole mkuu
romelu_lukaku-vs-lionel_messi.jpg
 
mkuu mbona unajisahaulisha kwamba madrid ndo ilikuwa michezo yenu hii mastar wote mnawachukua nyie
Una Messi, una neymar, una dimaria, una mbape.

Bado TU unamtaka touchmen

Tamaa za fisi hizi,
Ndo maana hawafanikiwi
 
. Kwahiyo tofauti yake na Lukaku ni assist mkuu? Sasa kwanini alinganishwe na Benzema?
Me sijasema issue ya kulinganishwa na benzema... hata reply yangu hapo juu nimeappreciate kwamba benzema ana msimu bora ila ata kama messi hana msimu mzuri sio mmlinganishe ns mtu wa kilo mia
 
Statistical ndio yupo level hiyo mkuu, sasa tumlinganishe na nani? Hujasema issue ya kulinganishwa na Benzema ila hiyo ndio ilikua conversation uka chip in..
 
Nimerefer replays zangu zilizofata mbona...
 
Back
Top Bottom