Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

MKuu hapo ndipo kwenye hoja kuu, yule haukumgonga bali aliucheza katika harakati za kuokoa. Hiyo ishu mpaka huko ulaya imezungumzwa sana na kumwagiwa povu, imezimika kwa kuwa Real Madrid wameshinda game, bila hivyo ingelileta ni Contravention kubwa sana.
The goal was scored after a scrum in front of the Liverpool goalmouth in which midfielder Fabinho failed to clear the ball. The ruling was that while Fabinho was the final player to touch the ball before Benzema’s goal, he didn’t “deliberately” touch the ball when Benzema was in an offside position.

According to the official Laws of the Game:

"A player in an offside position receiving the ball from an opponent who deliberately plays the ball, including by deliberate handball, is not considered to have gained an advantage, unless it was a deliberate save by any opponent."

Ule mpira Fabinho hakukusudia kuucheza, mpira ulimfuata ghafla ukamgonga na kudivert kwa Benzema, refa na VAR wako sawa. Waandishi wanakuza kwa sababu ndio kazi yao media content zao ziuzike
 
Marcelo sioni tatizo akiendelea kubaki Madrid.

Ule upande wa kushoto kuna beki gani wa kupanda na kushuka anamzidi!

Ndio yule Mendy? Aaaah hata simkubali kivile...

Hata Isco mbona anapiga kiungo fresh tu.

Hapo wa kusepa ni Bale tu. Wengine wabaki.
Kwa hali ilivyo ni lazima Marcelo aondoke man, ujio wa Rudiger ina maana David Alaba atahamia upande wa kushoto, maana yake hapo atakuwa na Mendy, wakati huo huo Nacho bado yupo yupo sana, so unaweza kuona nafasi ya Marcelo hapo haipo., mwenyewe alitamani abaki ila club kama ilimbania hivi.,
Kwa upande wa Isco nafasi yake atachukua Cebellos kama na yeye atabaki, plus kuna ujio wa yule dogo wa Monaco endapo atasajiliwa, hapo hapo Ancelotti anapenda kumtumia Asensio kama kiungo pia, so unaona hapo pia nafasi ya Isco bado ni finyu,
Hao akina Jović na Mariano kama inawezekana kuondoka itakuwa poa zaidi.
 
Marcelo sioni tatizo akiendelea kubaki Madrid.

Ule upande wa kushoto kuna beki gani wa kupanda na kushuka anamzidi!

Ndio yule Mendy? Aaaah hata simkubali kivile...

Hata Isco mbona anapiga kiungo fresh tu.

Hapo wa kusepa ni Bale tu. Wengine wabaki.
Mkuu unaangalia mechi kweli? [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
Kitendo cha kuuliza tu kama Isco na Marcelo wanastaafu inaonekana wewe sio mfatiliaji.
 
The goal was scored after a scrum in front of the Liverpool goalmouth in which midfielder Fabinho failed to clear the ball. The ruling was that while Fabinho was the final player to touch the ball before Benzema’s goal, he didn’t “deliberately” touch the ball when Benzema was in an offside position.

According to the official Laws of the Game:

"A player in an offside position receiving the ball from an opponent who deliberately plays the ball, including by deliberate handball, is not considered to have gained an advantage, unless it was a deliberate save by any opponent."

Ule mpira Fabinho hakukusudia kuucheza, mpira ulimfuata ghafla ukamgonga na kudivert kwa Benzema, refa na VAR wako sawa. Waandishi wanakuza kwa sababu ndio kazi yao media content zao ziuzike
Tumshukuru Mungu tu lile goli lilikua lakwetu, otherwise Uingereza nzima ingekua unazungumzia namna Madrid alivyobebwa... Unapoenda ku defend tunaamua vipi kwamba mpira ulikugonga bahati mbaya au ulikua eneo husika ili uzuie??
 
The goal was scored after a scrum in front of the Liverpool goalmouth in which midfielder Fabinho failed to clear the ball. The ruling was that while Fabinho was the final player to touch the ball before Benzema’s goal, he didn’t “deliberately” touch the ball when Benzema was in an offside position.

According to the official Laws of the Game:

"A player in an offside position receiving the ball from an opponent who deliberately plays the ball, including by deliberate handball, is not considered to have gained an advantage, unless it was a deliberate save by any opponent."

Ule mpira Fabinho hakukusudia kuucheza, mpira ulimfuata ghafla ukamgonga na kudivert kwa Benzema, refa na VAR wako sawa. Waandishi wanakuza kwa sababu ndio kazi yao media content zao ziuzike

Hapo ndipo penye tatizo, mpira haukumfuata Fabinho, Fabinho ndie alieucheza na kabla ya kuugusa yeye ulichezwa na Kanote.

It is true Kanote na Fabinho ndio waliogombania mpira and from that phenomeno, that was a clean goal. Hao wa VAR nadhani wanaingia wamelewa na REfa alitakiwa kwenda kujiridhisha sio kuwategemea hao wa VAR. Nadhani tafsiri ya "Delibarate" inabidi itafsiriwe upya
 
Brother mbona unataka tuuze wachezaje wengi hivo wakati tumesajili mmoja tu so far (Rudiger).

Ama kuna plans za kusajili wengine.

Timu si itabaki finyu sana. Rotation ya wachezaji haitokuepo.

Halafu inaonekana Mendy unamkubali sana... Mbona sijawahi kumuona amepanda mbele kumsaidia Vini Jr mashambulizi upande ule. Yeye muda wote yuko nyuma tu.

Mbona mwenzie wa right back (Carvajal) huwa anapanda na kushuka anawasaidia kina Varverde, Asensio na Rodrygo.
Iyo list ya wachezaji niliona wauzwe wamepita chini ya makocha kama watatu SOLARI, JUAN, ZIZOU na sasa DON CARLO wamekuwa wakipigwa bench mara kwa mara
Sasa wasiicost club mishahara yao. Nathamini mchango wao hasa kipindi cha rotation ya wachezaji ila kule castilla kuna vijana wanahustle kinoma tuwapandishe kwenye nafasi zao wasije kupoa tusajili pia.
 
Kiukweli baada ya Santiago Bernabéu, anyefuata kwa juhudi nyingi kama Rais ni Florentino, jamaa anajali mambo ya club kuliko hata mishe zake., kuna siku jamaa alisema kuwa Florentino akiona kwenye Forbes team imeshuka huwa anawavutia wire mazima kuwauliza, Real Madrid imezidiwa kwenye nini na huyo namba moja., ila yeye akishuka kwenye nafasi za wenye mkwanja wala hajali.
Hopefully bado tutakuwa nae, kwasababu kwa juhudi anazo onyesha plus matengenezo ya uwanja sioni Wajumbe wanaanzia wapi kumnyima kura.
Katupatia vikombe 5 vya UCL ndani ya miaka 8
 
Iyo list ya wachezaji niliona wauzwe wamepita chini ya makocha kama watatu SOLARI, JUAN, ZIZOU na sasa DON CARLO wamekuwa wakipigwa bench mara kwa mara
Sasa wasiicost club mishahara yao. Nathamini mchango wao hasa kipindi cha rotation ya wachezaji ila kule castilla kuna vijana wanahustle kinoma tuwapandishe kwenye nafasi zao wasije kupoa tusajili pia.
Ni kweli kuna wachezaji wamekuwa mizigo sana, ila kama hawa wataondoka basi itabidi tusajili mbadala wao na wengine tuwachukue Castilla, kwasababu msimu ujao tutakuwa na game nyingi sana plus kuna World cup hapo December, so tunahitaji kuwa na kikosi kipana kweli kweli., laa sivyo itakuwa tatizo.,
Mpaka sasa tumekamilisha deal la Rudiger, pia kuna taarifa kuwa usajili wa Tchouameni unakaribia kukamilika, pia Andy Lunin atatolewa kwa mkopo kupata play time, halafu tunamsajili golikipa wa Chicago fire., kuna tetesi kuwa club inamfuatilia kwa karibu striker wa AC Milan Rafael Leao., plus vijana wa Castilla tutakuwa tuna kikosi kizuri tu.
 
Brother mbona unataka tuuze wachezaje wengi hivo wakati tumesajili mmoja tu so far (Rudiger).

Ama kuna plans za kusajili wengine.

Timu si itabaki finyu sana. Rotation ya wachezaji haitokuepo.

Halafu inaonekana Mendy unamkubali sana... Mbona sijawahi kumuona amepanda mbele kumsaidia Vini Jr mashambulizi upande ule. Yeye muda wote yuko nyuma tu.

Mbona mwenzie wa right back (Carvajal) huwa anapanda na kushuka anawasaidia kina Varverde, Asensio na Rodrygo.
kwakweli mendy hapana mimi bado haja ni impress
 
UCL player of the season: Benzema
Young player of the season : Vin Jr.
Goal of the season : Benzema vs Chelsea

Na hii wanakwambia ni timu mbovu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Imagine what the best Madrid can do.

The worst Madrid is way better than the best others. [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28].
 
Ni kweli kuna wachezaji wamekuwa mizigo sana, ila kama hawa wataondoka basi itabidi tusajili mbadala wao na wengine tuwachukue Castilla, kwasababu msimu ujao tutakuwa na game nyingi sana plus kuna World cup hapo December, so tunahitaji kuwa na kikosi kipana kweli kweli., laa sivyo itakuwa tatizo.,
Mpaka sasa tumekamilisha deal la Rudiger, pia kuna taarifa kuwa usajili wa Tchouameni unakaribia kukamilika, pia Andy Lunin atatolewa kwa mkopo kupata play time, halafu tunamsajili golikipa wa Chicago fire., kuna tetesi kuwa club inamfuatilia kwa karibu striker wa AC Milan Rafael Leao., plus vijana wa Castilla tutakuwa tuna kikosi kizuri tu.
Yule. Dogo anaevaa no 10 Ac Milan hatumrudishi dirisha hili?
 
19-year-old Camavinga with his 7-year-old son. Calm down comrades I am trying to calculate...Footballers will kill us with their age!!
Sio Mtoto wake man, huyo ni kijana wa Kaka yake, Dogo sio kwamba hana tu Mtoto hata demu wa kusingiziwa hana.,

Kijana wetu Rodrygo ndio ana Mtoto., wenzetu Brazil kijana akifikisha miaka 15 tu anaruhusiwa kuingia kwenye mahusiano rasmi.,
 
Real Madrid stand firm: Their Tchouameni offer is still 60m euros​

PSG have made it complicated, but Real Madrid won't overpay
 
Ninaona PSG wana kazi ya kutuvurugia mipango yetu tu, acha tuende nao mdogo mdogo., sie tumeweka meza ni €60m, ila wao wameweka €100m mezani., acha sasa Dogo achague mwenyewe anapotaka kwenda.,
 
Back
Top Bottom