Ninaona Valverde kwasasa amepewa Uhuru wa kupiga kutokea nje, kwenye game dhidi ya Atletico alikuwa anakunjuka sana, Leo na kwenyewe anafanya hiyo kazi kwa ufasaha mkubwa, kinachokosekana ni goli tu.
Mwenyewe niliwaonea huruma, nilikuwa ninatamani tusiwafunge tena kiukweli., ila nikikumbuka hawa jamaa walishawahi kunilaza na maumivu makali baada ya kutufunga msimu uliopita, ninaona ni Sawa tu.,
Niwatakie kila la kheri huko Segunda B.