Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Lineup nilioipendekeza ndo Don Carlo alioiweka. Raha sana ukiijua timu yako nje ndani.
Nameendelea kujifunza mengi ndani ya UCL hii kwamba madrid fans na pure madridstats hatuyumbi yumbi hatuna ushabiki mandanzi.
Kuna mijamaa yenyewe leo ikna ushabiki na barca kesho na Psg keshokutwa na chelsea siki zinginze yanashabikia Man city mara Liva mara yashabikie Juve mara yashabikie Atletico madrid.

Barca ina mashabiki mandazi sana. Hawana msimamo hawa watoto wa Barca.
Nashukuru Mungu mashabiki mandazi wa Barca hawajawahi ipenda wala kuishabikia Buyern Munchen maana huwa inawala susa mbele na nyuma.
 
Hakunaga Away Goal rule UEFA.
Hata kama hiyo sheria ingakuwepo Madrid alikuwa na goli 3 za away mkononi ndani ya dk 90, huku City akiwa na goli 1 la away.

Hii sheria ya Away goal wamefanya vizuri kuitoa, sasa imebaki sheria ya Aggregate ambayo natamani itolewe pia, mshindi apatikane kwa namna hii.

-Ukishinda mechi zote(H na A), umeshinda bila kujali wingi wa magoli.

-Ukishinda H/A ukadroo A/H, umeshinda

-Ukishinda H/A, ukashindwa A/H, muende Extra time, matokeo yakibaki vile vile, penati ziamue
 
Kipara ana lahana ya kole tuore hataka abebe taji hili mbaguzi Sana huyu kiparaa hili taji ninkwa ajili ya Giants tu


Liverpoooy naenda kulizpiza kisas na madarada
Ni Yaya Toure, hivi mkasa ulikuwaje?

===============
Yaya Touré's agent in 2018: “Pep turned all Africa against himself. I’m sure that many African shamans in the future will not allow Guardiola to win the Champions League. This will be for Guardiola an African curse. Life will show whether I am right or not.”

@Goal233
 
Kwa mara ya kwanza jana nilimuona Pep amechanganyikiwa, labda kweli hii laana ipo kwa namna City ilivyotolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…