Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,089
- 5,161
Hatari sanaSasa benzema kupiga hii penalt nje kabisa...si hata angemshikisha kipa tujue moja
Kwa kweliKimsingi uchezaji wa Vin Jr na Hazard unafanana,kwa mtazamo wangu timu inapokuwa imezidiwa siyo afya kuwachezesha pamoja kwa sababu ni mzigo kwa timu wakat wakushambulia.Wanakaa na mpira kwa muda mrefu bila kujua wanaruhusu adui ajipange.
Dirisha dogo la January ndio linaishia Leo. Sie tulikuwa tunataka kuwatoa vijana wetu zaidi ya kusajili, ila ninaona jamaa wamebaki, basi tutakuwa busy sana summer transfer window.Hiv kumbe kulikuwa nausajili wa dirisha dogo sikuwa nafaham.