Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Timu imejitahidi kucheza, ilikua ni fedhea kama tungetoka bila cleansheet. Modric alikua na wakati mzuri. Ila rodrigo anajua cheza na nafasi.
 
Mpira una maajabu sana, yaani haka ka team kalitufunga pale Bernabéu,, nimepokea matokeo kwa mikono miwili, ingekuwa ni fedheha endapo wangetufunga tena, so kupata clean sheet ni jambo la kujivunia sana.
Sasa kituo kinachofuata ni MTIFUANO, hapa sasa ndio wakati wa kujua uimara wa team yetu.,
 
Hatua ya kukutana na vigogo wazito suluhu ya hili ili kupita hatua ya 16 ni kuongoza kundi.

Wikiendi nadhani tuna sevilla ngoja tuone itakuaje
 
Ile game kuna usanii ulifanyika niliona kwenye betting sites odds zilikua zina badilika kwa speed nikajua hapa kuna kitu
 
Tuna game nzito mfululizo, acha tusubiri tuone itakuwa vp, ila uimara unahitaji kweli kweli.,
Game zinazofuata ni hizi Sevilla, Athletic, La Real, Inter na Atleti.
 
Ile game kuna usanii ulifanyika niliona kwenye betting sites odds zilikua zina badilika kwa speed nikajua hapa kuna kitu
Ninadhan ni bahati tu Mzee tulikosa, muda wote mpira ulikuwa upande wao ila sasa kufunga ilikuwa ni shughuli pevu, yaani hata goli lenyewe ilikuwa ni penalty, halafu kwa kuchanganyikiwa zaidi Ancelotti akatoa mabeki akaingiza viungo, hapo Camavinga alicheza kama beki wa kushoto, na goli lilitokea upande wake., yaani ulikuwa ni mvurugikano.
 
1638127553262.png
 
Nilidhani Leo Alaba angepumzishwa, ila ninaona ameanza, hopefully atakuwa poa kabisa.,
#HalaMadrid
 
Kipindi cha kwanza, team haijacheza vizuri sana, makosa yamekuwa mengi sana, Sevilla wanaonekana hatari wakiwa na mpira, nilitamani kati ya Marco Asensio ama Vinicius mmoja wao atoke, ili aingie Valverde ama Camavinga,, pale kati tumezidiwa kidogo, na pia tunahitaji kucheza kwa speed kidogo, tukicheza jamaa wanavyo cheza tunaweza tukatoa nao droo ama wakatufunga.,
Ninategmea Ancelotti atakuja na jawabu kipindi cha pili.
 
Sure! Sijapata muda kucheki hii game ila Nacheki ratings hapa, on average tuko chini, individually naona huyo Asensio na Vini ndo wanafall below normal.
 
Hii top 4 ni shida, ukipigwa game moja tu una-drop parefu nafasi tatu nne huko! Real Sociedad sijui katokea wapi, Betis nae si haba! Barca kazingua mno kuwaachia gape hawa wahuni kwa sasa wana morale ya kukaza japo ndio poa kiushindani. Ila nae akikomaa akasogea hapo, itakuwa vurugu tupu na ukizingatia kuna champions league kuna wahuni wata-take advatage!
 
Back
Top Bottom