pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,728
Yeeeees
Magoli buku ni mengi sana aisee, tunastahili pongezi Kubwa kabisa., wanaofuata sasa tumewapiga gap ya goli kama 200+ hivi.#HalaMadrid
Nafikiri tunajiamini sana na tunarelax kupita kiasiTumeanza game vizuri, dakika kadhaa za mwanzo, ghafla tumewarudisha Shakhtar mchezoni, kuna muda ninatamani game zote tucheza away, tukicheza home kama tunapoteana sana, sijui shida ni nini.,
Muda bado tunao wa kurekebisha makosa, acha tuone kama team itakuja na mbinu tofauti.
Mendy ana makosa mengi sana gori tumefungwa sababu yake hana speed, anakabia machoKuna haja ya Alaba kubadilishana namba na Mendy ili kumpunguzia mzigo vinicius.
80% hii mechi tumebebwa na Vinicius Jr na 20% za Benzema.
Bora point 3 zimepatikana.
Mendy tumsamehe bure tu ndugu zangu, jamaa ndio anarudi kutoka kwenye majeruhi kuanzia mwishoni wa msimu uliopita, yaani hata pre season hakupata wasaa wa kushiriki na wenzie, ila uwezo wake tunaujua, ndio kwanza anacheza game ya pili kwa muda wote huo, sio rahisi kuwa kwenye utimamu kama wenzie.,Mendy ana makosa mengi sana gori tumefungwa sababu yake hana speed, anakabia macho
Kusema kuwa Alaba abadilishane namba na Mendy ina maana Nacho acheze na Militao, kisha Alaba acheze kama full back, kutu ambacho binafsi sikiombei, Nacho kuna muda anajisahau sana ni afadhali Mendy, sijui itachukua muda gani Mendy kukaa sawa, ila akipata pace kama ya wenzie kule upande wa kushoto tumekuwa tumefunga mahesabu.,Kuna haja ya Alaba kubadilishana namba na Mendy ili kumpunguzia mzigo vinicius.
80% hii mechi tumebebwa na Vinicius Jr na 20% za Benzema.
Bora point 3 zimepatikana.
No simaanishi Ncho aingie, ninachomaanisha mendy acheze kati Alaba aje fullback. Usisahau Alaba ni fullback pia na hata sasa hivi unaona mara chache anazopanda anakuwa more effective kuliko Mendy sasa imagine akicheza fullback tutaongeza idadi ya nafasi tunazotengeneza.Kusema kuwa Alaba abadilishane namba na Mendy ina maana Nacho acheze na Militao, kisha Alaba acheze kama full back, kutu ambacho binafsi sikiombei, Nacho kuna muda anajisahau sana ni afadhali Mendy, sijui itachukua muda gani Mendy kukaa sawa, ila akipata pace kama ya wenzie kule upande wa kushoto tumekuwa tumefunga mahesabu.,
No simaanishi Ncho aingie, ninachomaanisha mendy acheze kati Alaba aje fullback. Usisahau Alaba ni fullback pia na hata sasa hivi unaona mara chache anazopanda anakuwa more effective kuliko Mendy sasa imagine akicheza fullback tutaongeza idadi ya nafasi tunazotengeneza.
Naamini Mendy anaweza kucheza kati ila sijamuona kama ana skills za fullback(cross zake mbovu, chenga hawezi kupiga, hana balance kwenye kujilinda na kushambulia) Hadi sasa Marcelo na Carvajal wote nawaona wamemuacha mbali kwa uwezo wa kwenda mbele ila kuzuia amewazidi wote.
Tukitaka Mendy acheze kama CB Sina uhakika kama ana quality hizo za kucheza eneo hilo, kama tunataka Alaba acheze mbavu ya kushoto, ni lazima tubadili mfumo, tucheza na beki watatu, huku yeye akicheza kama wing back upande wa kushoto, tofauti na hapo tuvumilie tu Mendy arejee katika kasi yakeNo simaanishi Ncho aingie, ninachomaanisha mendy acheze kati Alaba aje fullback. Usisahau Alaba ni fullback pia na hata sasa hivi unaona mara chache anazopanda anakuwa more effective kuliko Mendy sasa imagine akicheza fullback tutaongeza idadi ya nafasi tunazotengeneza.
Naamini Mendy anaweza kucheza kati ila sijamuona kama ana skills za fullback(cross zake mbovu, chenga hawezi kupiga, hana balance kwenye kujilinda na kushambulia) Hadi sasa Marcelo na Carvajal wote nawaona wamemuacha mbali kwa uwezo wa kwenda mbele ila kuzuia amewazidi wote.
Tupo Mkuu, majukumu kuna muda yanatuzidi, kama jana sikufanikiwa hata kuangalia game yetu dhidi ya Rayo VallecanoSiku hizi nyuzi za Barca na Madrid wadau wanaingia kwa machale kishenz.
Kama uliangalia game ya jana ile assist aliotoa Alaba alitokea pembeni kama fullback nme kuelewa mkuuKuna haja ya Alaba kubadilishana namba na Mendy ili kumpunguzia mzigo vinicius.
80% hii mechi tumebebwa na Vinicius Jr na 20% za Benzema.
Bora point 3 zimepatikana.
Tupo full tank, wewe ndo huonekani!Siku hizi nyuzi za Barca na Madrid wadau wanaingia kwa machale kishenz.
Ni kweli Alaba akicheza kama left full back anafanya vizuri zaidi kwenye upande wa mashambulizi hata kulinda, ila kwasasa hatuna budi kumchezesha kama CB kwasasa, labda mpaka hapo msimu ujao tutakapo pata CB mpya atayecheza na Militao.,Kama uliangalia game ya jana ile assist aliotoa Alaba alitokea pembeni kama fullback nme kuelewa mkuu