Ituzaingo Argentina
JF-Expert Member
- Jun 20, 2020
- 1,865
- 2,205
Alikisha viporo anakuwa na 74Umelewa au unaota ndoto nyevu !
Mkuu umemsahau Sevilla..... Akimfunga Real na Atleti-Barca zikadraw usishangae anabeba ndoo hivi hivi.Real Madrid 0 0 Betis
Atl 73.. ..ana michezo 6
Madrid 71.. ..ana michezo 5
Barcelona 68.. ..ana michezo 7
π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
Mkuu umemsahau Sevilla..... Akimfunga Real na Atleti-Barca zikadraw usishangae anabeba ndoo hivi hivi.
Sevilla 70Villareal 1-2 Barcelona, FT
Atl 73
Madrid 71
Barcelona 71
π¦π·π¦π·π¦π·π₯π₯
LA liga msimu huu imekuwa ya moto, kwa mara ya kwanza kuanzia team ya kwanza mpka ya nne yoyote anaweza akachukua kombe, hapo ndio mbio zinakuwa tamu, acha tuone ni nani ataibuka na kombe msimu huuSevilla 70
Hukuna shida Mkuu, wenyewe sie pia ni vinyozi, wajichunge tu wasije wakanyolewa wao.Subiri kesho mnyolewe na Chelsea
Kwanini mkuu?Leo nitakua upande wa spain na sio madrid
I wish kombe liende Man city/kwa pep, na sio madrid, psg wala chelsea.