Mlolongo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 3,631
- 6,494
Msimu ujao tuna kazi kubwa sana yakufanya.
Kazi gani. Usajili?
Msimu ujao tuna kazi kubwa sana yakufanya.
Inaweza isiwe usajili ila timu ipangwe upya maana unaona wengi umri sasa umesonga na nguvu pia imekataKazi gani. Usajili?
Mmeamini sasa ubingwa wa la liga mlibebwa hizi mechi za baada ya corona?Msimu ujao tuna kazi kubwa sana yakufanya.
Mwisho hapo Bayern Munich anawafanya kitu kibayaMmeamini sasa ubingwa wa la liga mlibebwa hizi mechi za baada ya corona?
Sio siri mlituumiza sana lkn mungu mkubwa kwa uwezo wetu tumetinga nane bora uefa ukiujua unaujua tu
Viva barca
Jamaa pamoja na ozil lao moja.Gareth Bale will stick to his guns and stay at Real Madrid in a £60million stand-off as payback for failing to let him leave last summer.View attachment 1532374
Takataka mumepigwa tena..
Angalia leo kitu tunaenda mfanya Bayan
#CFC![]()
Season imekwisha tufanye Nini, tukae kikao Cha bodi au?Hii timu ndo basi tena mashabiki washasepa
Kwaio msimu ukiisha ndo hamzungumzii mwenendo wa timu yenu kuhusu maswala ya usajili, analysis ya msimu ulioisha na mapungufu..kipi cha kuongeza kwenye kikosi na mipango ya timu mbeleni?Season imekwisha tufanye Nini, tukae kikao Cha bodi au?
Tulipigwa mkuuTupe mrejesho mkuu
Ni jambo jema,makinda warudi wajenge timu upyaZidane yuko na plan za kumrudisha martin ord na lunin
Zizzou sijamuelewa, anamuachaje Achraf Hakimi kwenda Inter Milan.Zidane yuko na plan za kumrudisha martin ord na lunin
Njooni muangalie mme wenu leo anavyoongeza mke wa 2
Zishafika hamsa huko.Njooni muangalie mme wenu leo anavyoongeza mke wa 2
8Trophyless team
Wamefirimbwaaaa kisawa sawa!Mwisho hapo Bayern Munich anawafanya kitu kibaya