Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Upo sahihi sana mkuu...yule Rodrygo ana utulivu sana kwenye mechi,huyu Vin Jr ni kama Quaresma,ni machachari lakini siyo hatari.
 
Upo sahihi sana mkuu...yule Rodrygo ana utulivu sana kwenye mechi,huyu Vin Jr ni kama Quaresma,ni machachari lakini siyo hatari.
Dogo huwa ananichoshaga tu pale anapokuwa na mishe nyingi halafu hazina matunda, game kama hizi dhidi ya City hazitaki masihara, unatakiwa ukipata nafasi moja unaitumia hiyo hiyo sababu hujui utapata nyingine kama hiyo baada ya muda gani, ila kijana ndio kwanza anashika kichwa na kucheka! !
 
Game ya juzi kakosa goli la kizembe kabisa alipewa assist na Benzema akarusha miguu tu alinikwaza sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baada ya kupoteza game na City, kuna watu wanachonga sana kwamba watatupiga Bernabeu. Kuna jamaa yangu mmoja hatujaongea kwa muda mrefu lakini jana kathubutu kunipiga simu kwa confidence aliyonayo. Okay, let's wait and.
Hala Madrid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…