Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Unaona Zidane navyosoma mchezo, 5 midfielders didn't work akaona aingize 2 wingers baada ya dakika 45 tu. Na choice of the sub was right, Kroos was losing the ball a lot and Isco couldn't dribble through all the traffic. And big up to our tight defence too. Watu wamezoea ile wing back ya Marcelo lakini kwa sasa tunamuhitaji sana huyu Mendy. Kama mliangalia game na Zaragoza, mtakubaliana na mimi kwamba M12 umri unamtupa mkono, ukimpa Big games kama hizi inaweza kuwa noma
 
Jana nimechek game kuanzia dakika ya 60 . Aseeh ile football tunapiga sioni sababu ya kutochukua Laliga msimu huu. Huyu dogo Vinicius ni swala la muda tu ulimwengu wa mpira utamuelewa. Halafu Mendy naye kuna muda anajisahau kama anachezea Madrid analeta utoto, kuna mipira mizuri anaiporexa kijinga jinga tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Marcelo kwa sasa hastahili kuanza, ila don't write him off just yet. Subiria April hapo. He's been there several times before.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…