noel96
Senior Member
- Dec 29, 2015
- 179
- 103
Kama unaijua Madrid, wanaofanikiwa mara nyingi wanaanzaga taratibu. Marcelo alisugua sana bechi mpaka wakataka kumtoa kwa mkopo. Varane alianzia benchi. Casemiro alisota. Modric alikuwa labelled worst signing na media. Benzema katukanwa sana. Hazard mwenyewe pamoja na kucheza kila game, bado hajakaa sawa. Jovic anahitaji game time tu.