Sociedad wana team.nzuri!! ila vijana wetu wecheza vizur zaidi!! Cha muhimu ni.point 3,Hii building up ya Socied inanitisha, we need this 3 points.
Sociedad wana team.nzuri!! ila vijana wetu wecheza vizur zaidi!! Cha muhimu ni.point 3,
Team imeimarika sana, kila mchezaji yupo kwenye ubora wake, ile kuungaunga kama msimu ulivyoanza hiyo hali imeisha., ninaona ile team yetu ya kupambana imerudi.Yaani game waliyopiga Socied ndio ingekuwa Real Madrid yetu ile ya msimu uliopita au tuliyoanza nayo msimu huu ingekuwa aibu. Timu yetu imeimprove kwa kweli.
Team imeimarika sana, kila mchezaji yupo kwenye ubora wake, ile kuungaunga kama msimu ulivyoanza hiyo hali imeisha., ninaona ile team yetu ya kupambana imerudi.
Ninachopenda zaidi ni jinsi Valverde anavyocheza, dogo muda wote anakimbia na huoni akichoka. Modric na yeye naona ameamua kupambana ili arudi kwenye starting XI.
Game dhidi ya PSG itakuwa bora sana, tunaenda kuwashagaza.,
Sijawahi kutilia shaka uwezo wa Zidane, ni moja wa makocha wazuri na bora kwasasa, watu wanamchukulia Zidane poa sababu hana ile aina ya uchezaji kama wenzie mfano Pep, ila ana jicho la kuona vipaji na anajua amtumie vp mchezaji, ndio maana mwanzo alivyo mwachia James kwa mkopo.kwenda Bayern hata Maboss wake hawakumwelewa, ila wote tunajua mambo yalienda sawa kabisa!!Hii inamaana kwamba Zidane ni kocha mzuri? Nakumbuka kipindi timu hii hii lakini haikuwa na connection uwanjani watu walishaanza makelele kwamba Zidane out.
We unafikiriaje hili swala?
Sijawahi kutilia shaka uwezo wa Zidane, ni moja wa makocha wazuri na bora kwasasa, watu wanamchukulia Zidane poa sababu hana ile aina ya uchezaji kama wenzie mfano Pep, ila ana jicho la kuona vipaji na anajua amtumie vp mchezaji, ndio maana mwanzo alivyo mwachia James kwa mkopo.kwenda Bayern hata Maboss wake hawakumwelewa, ila wote tunajua mambo yalienda sawa kabisa!!
Mimi ninachoona kwa Zidane ni kwamba sio muumini wa wachezaji wenye vipaji ila wanakuwa na mambo mengi uwanjani ambayo hayasaidii team kwa mfano Vinicius Jr, Brahim, James nk., yeye anapenda wachezaji wenye kujua ni nini anatakiwa kufanya uwanjani, ndio maana unashangaa mpaka Leo Lucas Vasquez anapata nafasi mbele ya Brahim Diaz, Vinicius Jr nk , sio kwamba Vasquez anajua sana kuliko hao madogo, ila kujituma kwake uwanjani na kutimiza majukum yake ndio yanampa hiyo nafasi mbele ya hivyo vipaji.
Utaweza kuona hilo pia kwa Rodrygo, si kwamba hajui ama hawezi kudribble kama Vinicius ila akiingia uwanjani anaenda kufanya kazi ya mwalimu.na sio kucheza na jukwaa, Hicho pekee ndio kimempa hiyo nafasi mpaka sasa Zidane amemwamini na anafanya vizuri. So usishangae hata msimu unaokuja asimrudishe Odegaard.
Kwa kikosi tulichonacho na mwenendo wa team kwasasa usishangae tukabeba la liga
Vyote hivyo ni visingizio, wachambuzi wengi wanasubiri kuona Zidane atafanya nini bila Ronaldo, sababu wanaamini kuwa team ndio iliyokuwa inambeba na sio uwezo wake. Kwahiyo Zidane ana kazi ya kuthihirisha kuwa ni kocha bora na sio kwamba ana bebwa na team.Nakubali kwa huu uchambuzi,unajua kuna ile imani wary wengi wanayo kwamba kama mchezaji aliwahi kuwa bora basi hawezi kuwa kocha bora.Hii imefanya watu wamchkulie zizou poa ila ukimcheki kwenye training anavyofundisha utamkubali.
Zidane pale hakuna kocha, alitembelea nyota tu.Nakubali kwa huu uchambuzi,unajua kuna ile imani wary wengi wanayo kwamba kama mchezaji aliwahi kuwa bora basi hawezi kuwa kocha bora.Hii imefanya watu wamchkulie zizou poa ila ukimcheki kwenye training anavyofundisha utamkubali.
Zidane pale hakuna kocha, alitembelea nyota tu.
Assist ya Varane kwa Mbape imewarudisha PSG mchezoni, wanajua kabisa Leo wamebahatika kupata sare., jambo la muhimu ni kuwa tume qualify kwenda kwenye 16 bora, so atayepangiwa na sisi huko ajipange tu sababu vijana wapo tayar sasa kushindana