HT:Hatujacheza vzr kwa maana ya "team work"...unaona wachezaji kadhaa tu wakionekana wako na uhai hata kama hawafanyi vyema sana,unamuangalia Bale,Carvajal na kias Varane ndio wanaonekana wana uhai...wengine wote hawaonekani kama wamekuja kutafuta ushindi au kupiga picha kwenye ile Paris Tower...zidane anatakiwa abadilike kimtazamo asikariri sana lazima kutumia winger kushambulia au kupata magoli...lazima tuwe na uwezo wakupress kutokea katikati...as it is now,hawa jamaa wametukama kiungo yote...di maria anatembea anavyotaka...anapokea mpira yupo mwenyewe...yaan magoli yote tumefungwa kwa sababu yakukaba kwa macho..huku mbele ninafikiri mmoja kati ya benzema au bale apumzike.
Kimsingi hii timu yetu tukikutana na wale watani zetu wakuu tutapata aibu ingine..bado hatujapata muunganiko...