Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Killian Mbappe
Antoine Griezman

Mkuu hao si mastrikers wanaocheza namba 9. hao wanacheza supporting striker kwahivyo hata wakiletwa pale hawatakuja kucheza position anayochez Benzema. Nataku munitajie striker ambaye aje kuchua position ya Benzema.
 
Game limebadilika sana mkuu na sio lazima timu inganganie natural striker 9!
Wanaweza kucheza kama false 9
Timu nyingi zenye mafanikio kwa sasa wako flexible na wanapendelea sana false 9
 
Game limebadilika sana mkuu na sio lazima timu inganganie natural striker 9!
Wanaweza kucheza kama false 9
Timu nyingi zenye mafanikio kwa sasa wako flexible na wanapendelea sana false 9

Labda ungetupa mfano wa hizo timu zenye hayo mafanikio wanaopendelea sana false 9. mana kwa ninavofahamu mimi all top teams wanacheza na natural striker. Kuanzia TOp 6 za Premier league, PSG, Monaco, Buyern, Borrusia, Barca, Real, Atletico, Napoli, Juventus, Milan, Inter, Roma, Lazio.
 
Timu zinazotumia false 9
Liverpool
Atletico Madrid (in the absence of huyo chizi aliyepewa red card)
Barcelona (depends on the opponent)
Na nyingine nyingi tu
 
Timu zinazotumia false 9
Liverpool
Atletico Madrid (in the absence of huyo chizi aliyepewa red card)
Barcelona (depends on the opponent)
Na nyingine nyingi tu

Mkuu Firmino ni nani?
NA Suarez ni nani? lini ulimuona Bench ?
Na hiyo Atletico walikua wakifanya hivyo kipindi hawana other reliable striker mwengine lakini toka wawe na Moratta lini aliwaona wakacheza hivo?
 
Wote hao ni false 9
Ukitaka system ya natural 9 basi utaishia kuwa na watu kama akina Benzema, Higuain, Ibrahimovic
 
Mpira umebadilika sana mkuu
Ndio maana false 9 rules!
Ndio maana hutamwona Messi au Suarez akikaa kwenye box na kusibiri Bali hucheza with a roving role

Sasa kwani Benzema anakaa kwenye Box akisubiri? Iyo False 9 umeifahamu vipi weye mkuu?
Licha ya mpira kubadilika lakini bado natural strikers wana umuhimu wao mkubwa kwenye mchezo, Na hao kina Messi, Mbappe, Hazard, Ronaldo bila ya kuwa na natural Striker partner wana struggle kufunga uwanjani.
 
Mkuu Mbape ni Supporting striker. anakuwa yupo wide na sio central. Pale PSG central anacheza Cavani na France Central anacheza Girud. Kuwa makini kwenye utizamaji wako wa mpira. Kwaiyo hata akija Madrid atachukua nafasi za kina Bale na Vasquez lakini si Benzema.
 
Ninachokimaanisha mimi ni ile accuracy rate...yaan sisi iwe ni mshambuliaji wa kati au anayetokea pemben...suala ni kuwa hatuna mtu mwenye uhakika wakupata nafasi chache nakuzitumia vzr...waliopo target imepwaya...tunahitaji mwenye kiu na ambaye anaweza fanya maamuzi ya busara wakat ambapo tunahitajika kufanya hivyo...kitu ambacho ambaye tunamtegemea sasa hivi huyo benzema hana..siyo yeye tu...hata wenzake hawana pia...yule V Jr ni swala la yeye kujengwa kiakili na afundishwe misingi ya uzito wa game...maana ana mambo mengi ambayo hayasaidii timu...
 
Mkuu hao si mastrikers wanaocheza namba 9. hao wanacheza supporting striker kwahivyo hata wakiletwa pale hawatakuja kucheza position anayochez Benzema. Nataku munitajie striker ambaye aje kuchua position ya Benzema.
Mauro Icardi
Roberto Firmino
 
Zidane bila kusaini striker wa maana summer hii atatuharibia mood. Tetesi zinasema kapewa €500m sasa akiamua kubaki na kina Vazquez na Bale pale mbele tutamshangaa sana.
 
Ninachokimaanisha mimi ni ile accuracy rate...yaan sisi iwe ni mshambuliaji wa kati au anayetokea pemben...suala ni kuwa hatuna mtu mwenye uhakika wakupata nafasi chache nakuzitumia vzr...waliopo target imepwaya...tunahitaji mwenye kiu na ambaye anaweza fanya maamuzi ya busara wakat ambapo tunahitajika kufanya hivyo...kitu ambacho ambaye tunamtegemea sasa hivi huyo benzema hana..siyo yeye tu...hata wenzake hawana pia...yule V Jr ni swala la yeye kujengwa kiakili na afundishwe misingi ya uzito wa game...maana ana mambo mengi ambayo hayasaidii timu...

Mkuu Tatizo ni Real Madrid, Benzema anahitaji watu wakucheza nao huwezi mtegemea yeye kwa kila kitu. kila timu inahitaji zaidi ya mchezaji mmoja kuwa anafunga. Hata huko Barca Messi hafungi pekeake Suarez anakaribu 25 goals ndani ya msimu huu. Sasa hilo linafahamika wazi kabisa, Lakini kuzungumza kuwa Benzema aondoshwe hafai ni karibu ya fikra za kichaa. ila anahitaja mtu wakucheza nae.
Ukiangalia kwa no 9 huwezi pata bora zaidi ya Benzema ukitoa (Suarez, Cavani, Lewandoski) huo ndio uhalisia na hao hapo kuwapata ni pesa nyingi sana huku na umri ukiwa umeshawakimbia. NI bora kustick na Benzema huku wakijiandaa kutafuta long time replacement. Piatek awe ndio best target kwa sasa. Ila hao wengine kina Icardi na Firmino ni kujitafutia mizigo tu.
Real Madrid inahitaji side attack mmoja wakuja kucheza na Benzema na Asensio. (Harzad or Mbappe) Wanahitaji two center backs (Romagnoli, Rugani, Laporte, Godin) waliokuepo wameshoka mno. Magoli amabayo wamefungisha Ramos na Varane msimu haya idadi kabisa. na pia Liorente na Reguilon wanahitajika kuwa ndani ya kikosi cha kwanza. Marcello na Casemiro wapigwe bei tu tena.
Casemiro, Marcello, Ramos, Varane, Bale, Isco, Hawa wote wauzwe tu. Pia Wajiandae kutafuta replacement za Benzema, Mudric na Kroos mda wakuanza kutafutwa umefika tayari. Lakini si immediately mana wanaweza kuendele kucheza hata misimu miwili zaidi.

Ila wakitaka kuanza kusajili kimihemko ya kuwatafuta kina Pogba yatakayowapata tuyangoje tu.
 
Sasa hao uliowataja kwa upeo wako unahisi wamemzidi Benzema kiuwezo?
Nimekutajia namba 9 sio uwezo?.. hata kama ni uwezo Benzema ni maji ya jioni muda wake umekata huwezi kumrank na ICARDI kwa sasa.
 
Nimekutajia namba 9 sio uwezo?.. hata kama ni uwezo Benzema ni maji ya jioni muda wake umekata huwezi kumrank na ICARDI kwa sasa.

Tatizo la bongo mpira unatizamwa kwenye smartphone. (Live score/Top score chart/ football statistics) Umewahi mtizama huyo Icardi halafu ukamlinganisha na Benzema?
Twendeni hivi mnavotaka nyinyi Huyo Icardi amefunga 12 goals msimu huu na Benzema ana 30 goals unawezaje na kujiaminishaje kumriplace mchezaji mwenye 30 goals kwa mwenye 12 goal?
 
REAL MADRID STARTING XI: • Navas; Carvajal, Nacho, Varane, Reguilón ; Isco, Valverde, Casemiro; Bale, Benzema, & Brahim. ¡¡HALA MADRID!!
 
Back
Top Bottom