Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

What a mediocre team we became, 80 minutes of play against Rayo, 0 shoot on target. Never happened before.
This is what ninachosema...sasa hivi kule mbele hatuna watu ambao wanaweza kuwa na accuracy rate nzuri...huwezi kuwa na foward line ambayo hata kulenga goli haiwez kisha ukajisifu kuwa una foward line nzuri..tunahitaji mabadiliko makubwa mbele..Real madrid ni club kubwa na tunahitaji kuogopwa kila tunapokanyaga pitch ziwe za mpinzani au za kwetu..
 
Huyu MTU anaitwa salamander humu ndani nataka nimwambie kuwa kama star wangu eden hazard akija Madrid basi Mimi nitaongeza ushabiki wa team kuwa mbili yaani Chelsea na real Madrid
 
Huyu MTU anaitwa salamander humu ndani nataka nimwambie kuwa kama star wangu eden hazard akija Madrid basi Mimi nitaongeza ushabiki wa team kuwa mbili yaani Chelsea na real Madrid
Eden anakuja, Pogba anakuja.
Get well soon Iker
 
Europa league match btn Frankfurt vs Chelsea is underway. This is opportunity to watch Luca Jovic and Eden Hazard and see how they'll fit on our shirts.
 
Leo nimefanikiwa kupata wakati wa kucheki game, tumecheza vizuri first half na second before sub ,nilikuwa sijamuona valverde akicheza dogo ni mzuri anajua kupiga key pass naona chance yake kubaki madrid next season ni kubwa kuliko ya ceballos
 
IMG_5233.JPG
 

Similar Discussions

37 Reactions
Reply
Back
Top Bottom