lynne
JF-Expert Member
- Oct 16, 2014
- 897
- 1,182
Mi nshapata gonjwa la moyo ila nahis nimelizoea sababu hakuna namnaHuyu Lopetegui atatuua![]()

Mi nshapata gonjwa la moyo ila nahis nimelizoea sababu hakuna namnaHuyu Lopetegui atatuua![]()

tuliyataka wenywewe tuna replce Ronaldo kwa hilo jinga Mariano! japo naumia lkn acha tufungwe akili zikae timamu
We have been unlucky today.. plus errors za first half.. but hope tutainuka na kupata matokeo mazuri
Lopetegu halikuwa chaguo sahihi kwa madrid japo mlimchukua kwa mbwembwe
Siamini kwamba viwango vya wachezaji vimeshuka au wako kwenye uchovu
Lopetegu halikuwa chaguo sahihi kwa madrid japo mlimchukua kwa mbwembwe
Siamini kwamba viwango vya wachezaji vimeshuka au wako kwenye uchovu
Sio kwa Perez ninaemjuaNaamini ni chaguo sahihi kabisa. He just need time
Perez hawezi kumvumilia zaidNi ngumu sana kufundisha hizi timu with too much expectations, Zidane hii preasure ilimshinda akaamua kujiondoa. Ukikubali kuwa kocha wa timu hizi kuna mambo mawili yanakusubiri, triumph au kuharibu CV yako.
Juve kufanya nn? inahitaji elimu gan kujua kma pengo ka Ronaldo tulilifanyia mzaha? au ukiwa shabiki unapoteza uwezo wa ku reason?Hivi nyie simumehamia Juventus mbona bado mnajileta huku.