Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
-
- #38,961
Hatuna coach, huyu jamaa mzushi tu hana plan team ikibanwa
Mfumo anaoatka kucheza wa pass nyingi inabidi awe na watu creative sana yaani wenye akiri nyingi za mpira.Hii team haina kocha kwa sasa
Amini msiamini team ni mwalimu
Hahahhahaa maskini mnatia huruma sana maana sio kwa console hizi na bado hamjakutana na Barca sijui mtakula ngapiUwezo wa hii squad mi sina shaka nao, ukitaka kujua hiki kikosi ni FIRE angalia kila timu tunayokutana nayo itapaki bus dakika 90. Anyway, huu ustaarabu umefika tamati, angalia goli zinaanza kumiminika usiku huu
Hatuna shida kawaida mnaichukiaga Madrid ! Mnaongea saaana lakini mwishowe tunabeba kombe! Angalia Uefa Mara tatu mfululizo. Learn to be patient man!Hahahhahaa maskini mnatia huruma sana maana sio kwa console hizi na bado hamjakutana na Barca sijui mtakula ngapi
Mpira bado sana man! Learn to be patient manHahahhahaa maskini mnatia huruma sana maana sio kwa console hizi na bado hamjakutana na Barca sijui mtakula ngapi
Nyie ni kma team flan apa bongo akili zenu ni kumfunga tu RMA baada ya hapo hakuna la ziadaHahahhahaa maskini mnatia huruma sana maana sio kwa console hizi na bado hamjakutana na Barca sijui mtakula ngapi
Mweeee mie team Atletico ambayo iliwazabua 4.... Mwaka huu tutaheshimiana tu zile kejeli za "there's only one madrid" sizisikii siku hizi.Nyie ni kma team flan apa bongo akili zenu ni kumfunga tu RMA baada ya hapo hakuna la ziada
Mweeee mie team Atletico ambayo iliwazabua 4.... Mwaka huu tutaheshimiana tu zile kejeli za "there's only one madrid" sizisikii siku hizi.
Bahati tu ilikuwa upande wenu..... Atletico mlirudisha goli dakika ya 90 na ile final repeat mkashinda penalti then mnakuja hapa kusema 4 in a row ndio mlikuwa best team?? Mlideserve 1 tu hizo zingine ni bahati mfano msimu uliopita kma sio kupewa penalty ya uongo dhidi ya Juve mngefika wapi??Hatuna shida kawaida mnaichukiaga Madrid ! Mnaongea saaana lakini mwishowe tunabeba kombe! Angalia Uefa Mara tatu mfululizo. Learn to be patient man!
Kuna patience ila sio kwa striker kama benzema na mariano eti ndio wawape makombe!! Come on mahn u can't be serious......Mpira bado sana man! Learn to be patient man
Bahati tu ilikuwa upande wenu..... Atletico mlirudisha goli dakika ya 90 na ile final repeat mkashinda penalti then mnakuja hapa kusema 4 in a row ndio mlikuwa best team?? Mlideserve 1 tu hizo zingine ni bahati mfano msimu uliopita kma sio kupewa penalty ya uongo dhidi ya Juve mngefika wapi??
Kama mngekuwa best mngebeba na hyo la liga mara hizo 4 mfululizo.... Real pesa ndio iliwabeba na kwa Europe ni bahati ilikuwa upande wenu ila haimaanishi nyie ni bora kuliko Barca au atletico.
Ssa mmerudi kwenye reality kwamba mlikuwa mnamtegemea Ronaldo.... Hivyo vipigo vitaendelea mpaka mpate replacement.
Poleni thou!!
Ni kweli kabisa tunashida kwenye kikosi chetu kwasasa, haswa kupata creative midfield wa kuweza kupitisha mipira wakati wapinzani wamezuia mashambulizi yetu, na hili suala lipo kuanzia Julen anachukua team, kwanza alitaka James arudi, na alimchek mwenyew sema ule mkataba haukuwa rafiki kwetu, kabla mambo hayajakaa sawa Kovacic akadeamnd kuondoka, ikabid club imtoe kwa mkopo, Kocha akataka kupata mbadala ya Kovacic na hapa alimtaka Thiago Alcantara sema club ikablock ile transafer as tuna viungo wengi sana kwasasa plus hao waliopo kwenye mkopo, so ikabid tubaki na Isco pekee, sasa tulipozingua zaidi ni kumwachia Martin Odegaard aondoke kwa mkopo tukabaki na Fede Valverde, huyu kijana ni aina ya Kroos na Cebellos, so kwasasa tuombe tu vijana wetu warudi kutoka kwenye majeruhi na hawa waliopo warudi katika viwango vyao, Bado nina imani na KochaThe mistake is in the tactics . we pass the ball for whole 90 minutes, or we play a long ball from centre circle and no creativity at all . Kroos playing so deep throughout the game . 600 minutes, no goal no penetration. We're in big crisis right now
😀😛😀 naona mwisho wa utawala wenu umewadia..... Muda ndio una majibu yoteIt hurts you a lot, pole sana. Na hizi story tumezizoea Hakuna jipya uliloandika.
Hizo ni hasira za kufungwa Uefa Mara mbili fainali pole sanaMweeee mie team Atletico ambayo iliwazabua 4.... Mwaka huu tutaheshimiana tu zile kejeli za "there's only one madrid" sizisikii siku hizi.
Kwa mtu anayefuatilia mpira anajua atletico deserved both the trophies kma sio griezmann kukosa penalty ya normal time 2016 ama atletico kuruhusu goli la stoppage time la Ramos.... Alafu mtu ana summarise tu eti TUMESHINDA 3 IN A ROWHizo ni hasira za kufungwa Uefa Mara mbili fainali pole sana
Kajaribu hizo bahati za kuchukua Uefa angalau hata Mara moja! Kila kitu bahati tu! Yaani nyie hamtakaa muikubali Madrid hata siku moja! Eti tulisawazisha dk ya 90! Mbona Jana tumefungwa na alaves dk ya 90+5 halafu hatulalamiki kama unavyoilaumu Madrid inabebwa? Sisi Jana tumekubali kufungwa tu! Hiyo nayo ni part ya mpira, huwezi kutawala siku zote! Ndio maana nimekwambia be patient manBahati tu ilikuwa upande wenu..... Atletico mlirudisha goli dakika ya 90 na ile final repeat mkashinda penalti then mnakuja hapa kusema 4 in a row ndio mlikuwa best team?? Mlideserve 1 tu hizo zingine ni bahati mfano msimu uliopita kma sio kupewa penalty ya uongo dhidi ya Juve mngefika wapi??
Kama mngekuwa best mngebeba na hyo la liga mara hizo 4 mfululizo.... Real pesa ndio iliwabeba na kwa Europe ni bahati ilikuwa upande wenu ila haimaanishi nyie ni bora kuliko Barca au atletico.
Ssa mmerudi kwenye reality kwamba mlikuwa mnamtegemea Ronaldo.... Hivyo vipigo vitaendelea mpaka mpate replacement.
Poleni thou!!