Kwann katika kipindi cha mafanikio ya Madrid na Barcelona Ronaldo na Messi walikuwa wanachukua individual awards nyingi na sio Iniesta... Xavi... Modric... Kroos au Ramos??? Football is a team game but kuna watu ambao ndo wanakuwa viongozi... Bila kuzungukwa na wachezaji wazuri Messi na Ronaldo wasingepata mafanikio sana lakini uhalisia ni kwamba wao ndio viongozi wa hzoo timu nzuri. .wao ndo walikuwa na uwezo wa kubadilisha matokeo muda wowote
Sawa mkuu... Tunaelekea dakika 700 sasa hatujafunga goli... Wachezaji wako bora Kroos na Modric waliobeba timu kipind cha mafanikio nao wapo uwanjani muda wote huo.... Haihitaji kujiuliza sana kujua tunakosa nini... Haihitaji kujiuliza sana kujua chachu ya mafanikio yetu alikuwa naniHizo individual awards ni just popular pulls. Xaxi na Iniesta waliipa Spain ubingwa Dunia. na ulaya mara mbili. We endelea kuwachukulia kama niwatu wakawaida. Ulida unatengenezwa kibiashara mkuu football ulaya ni business. Watu hulazimishwa kumpa pasi mtu fulani afunge kwenye timu, Watu hulazimishwa wamsifu mchezaji mwenzao fulani. Yote hayo yanatokea na yametokea. Haimaanishi kama yeye ndie bora. Mchezaji analazimishwa lazima amalize dakika 90 hata mechi nyepesi mno zisizohitaji nguvu nyingi ili apate afunge magoli, Mchezaji analazimishwa apige Free-kick na Penalt hata kama wapo waliomzidi kwa kupiga vizuri kuliko yeye.
Sawa mkuu... Tunaelekea dakika 700 sasa hatujafunga goli... Wachezaji wako bora Kroos na Modric waliobeba timu kipind cha mafanikio nao wapo uwanjani muda wote huo.... Haihitaji kujiuliza sana kujua tunakosa nini... Haihitaji kujiuliza sana kujua chachu ya mafanikio yetu alikuwa nani
Mkuu nilijuaga hujui kiswahili5 minutes to go, Alaves hawataki kucheza mpira.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu nilijuaga hujui kiswahili
Nadhani wamepoteza points nyingi mpaka amejua kiswahili, lkn mshabiki mstaarabu sana huyu jamaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sawa mkuu nimekuelewa... Nilikuwa sifahamu kama unaweza ukalinganisha Ronaldo na Benzema kwenye ufungaji... Tuyamalize tuuuRonaldo huko Juventus amefanya nini mpaka saivi? angoli sawa na Benzema tu kwaio hakuna tofauti ya kiperformance na ukitizama zaidi Juventus ni dominating zaidi kwenye ligi yake alitakiwa awe na magoli zaidi.
Na timu kufanya vibaya kwa kipindi ni matokezeo yakawaida kwenye football. Wakati Real Inakula vichapo mwaka jana mpaka ikafikia ya 7 kwani Ronaldo hakuwemo?