pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,245
- 3,731
Marcelo kapiga footwork nzuri sana...
Marcelo kapiga footwork nzuri sana...
Kwa ujumla me sikuona umuhimu wakununua kipa zaidi yakutakiwa kuuza...yule kiko alitakiwa kuuzwa bas inatosha...Keylor still my fav, kama ile afungwi pale
vipi mmeanza kulaumiana kuhusu kipa mapema hii yote
Dahaa kwelGoli la kwanza huwezi laumu goli keeper ,hiki ndio kipimo sahihi cha ubora wetu ndani ya laliga kabla hatujakutana na vigogo
Tutajua mbivu na mbichi