Tajiri Kichwa
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 9,020
- 22,078
Mtaupiga mwingi ila mtafunga hawa wazembe wazembe, tight games hamtakuwa na decisers.Kwangu mimi mbona naona since kocha amekuja tunacheza vizuri sana kuanzia benzema anajituma sana huyo bale sasa ni moto kila kona yupo...asensio nae sina cha kuongelea anapiga mwingi sana..ata wale commentators naona wameiongelea real kwa good way
Sent using Jamii Forums mobile app
Norwegian sensation Martin Ødegaard has left to Vitesse on a season-long loan!
We hope he gets much needed playing time so he can come back stronger!
Huyu Dogo Vinicius Jr kwa nini asiaminiwe? Dogo nimemuona kwenye game za pre season kiukweli Dogo soka analijua alafu pia anajiamini, nashangaa tunataka kumpeleka castilla, sidhani kama ni sahihi. Dogo apewe chance kwa uwezo wake huyu Dogo atatusaidia sana.Today's training...
Humu wamebaki kama wawili tu.Na wenyewe hawana hamu ya kuingia kwenye huu uzi.Hivi ni kweli Ronaldo ameondoka na mashabiki wake wa real madrid
E&K
Naona leo refa anawabeba sana ... Ila kwa timu yenu inavyocheza leo mkikutana na wababe lazima mle 4 kama za atletico
Penalties zinawaokoa...