Don Clericuzio
JF-Expert Member
- Dec 8, 2017
- 16,930
- 40,585
Hahaha, maneno ya kujifariji.Now everyone is praising Ronaldo while siku zote ndo alikua mbeba lawamaanyway we're the best and we'll keep that record just a matter of time ans yes we have some serious work to do but in the end we'll surprise all anti Madrid.
HALA MADRID
Huu mwaka Atletico anawapiga nje ndani, Barca naye pia.Atleti tactics inajulikana, Ramos, Marcelo na Värane wanastaili kubeba lawama.
Huu mwaka Atletico anawapiga nje ndani, Barca naye pia.
Hivi vitimu vingine vitawakazia navyo kimoja kimoja.
I watched the game yes, you got few chances of which CR7 could have converted.Did you watch the game? Real Madrid wako vizuri, Atleti are tight in defence na wamecheza kufa na kupona but Benzema still scored. Few mistakes they made decided the game, lakini usiwachulie poa kihivyo. It is Real Madrid.
Hahaha, maneno ya kujifariji.
Poleni sana, jana mmecheza sawa na Man Utd, yaani kama wacheza mpira walojikusanya pamoja bila kujali namba.
Sawa tuu
Nimeona Rais wenu anataka kuvunja kibubu, atoe 300 kwa mzee wa kujiangusha Neymar.
Nawatakia kila la kheri.
Atletico wamebadirika sana. Hawatumii tactics zilezile. Wana piga pasi na kushambulia. Siyo wale wa kujilinda.Atleti tactics inajulikana, Ramos, Marcelo na Värane wanastaili kubeba lawama.