Bayern Munich bado wapo, mbona mabingwa wenzao wamefungashiwa virago?Uefa ya mwaka huu sio mchezo
PSG bingwa France
JUVENTUS bingwa Italy
BAYERN MUNICH bingwa Germany
REAL akichukua na hii itakuwa balaaa
Mkuu Salamander et al naomba mnisaidie link ya kutazamia mpira huu wa leo...link zote nilizo nazo hazifunguki.
Incredible!That was a pin-point free-kick by Isco to break the deadlock! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]