Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Vp Wakuu, ninategemea update kutoka Kwenu, kama kawaida Bongo mvua kidogo tu na Tanesco wanapataga kisingizio., [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Kwa Theo tulilamba karata dume, atasumbua sana hapo baadaeTheo is having a good game
Hili goli sikuona shida ilikuwa wapi mpka likakataliwa,Disallowed goal for Real Madrid and Ronaldo
Patachimbika siku hiyo...,