Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Ila Zidane ana ujasiri sana, ama jamaa ameshapewa uhakika na Perez¡? sababu kwa hali tuliyonayo mida hii tumeshapata taarifa nyingi sana ya replacement ya jamaa., na yeye anaonekana hana wasi wasi kabisa,
 
Ndio hiyo hiyo. Wale wakiaminiwa watafanya vema hasa wakicheza na wa level yao kama levante. Hii first eleven inatatizo la kutojiamini na kupanic wanazidiwa kidogo tu.
Hakuna mwenye afadhali hata mmoja, team nzima kama wote wekumbwa na zimwi la kutojiamini, ninadhan na matokeo yanachangia, ulichangia na ugeni wa akina Theo mambo yanakuwa magum kidogo, Bado hawa vijana wanahitaji kukomaa kidogo., Kama Zidane atabaki msimu ujao watafaidikakuliko sasa.,
 
Ila mi nahisi kuna ka mgomo baridi hapa maana si kwa flop hii
 
Ila mi nahisi kuna ka mgomo baridi hapa maana si kwa flop hii
Hamna hata Mgomo, ni vijana wetu wamechoka tu wengine wamesharidhika na mafanikio waliyowapata, unaona kabisa vijana wanataka mambo yaendehiv ila ndio hivyo mambo hayaende kama wanavyotarajia, ndio maana wanapanic sana.,
 
Nimesikia mnataka kumuuza Isco. Tupeni kama mmeshindwa kumtumia. Tutajua pa kumuweka.
 
Mtembeapo kwenye bonde la ufa la umauti msiogope PSG
Sisi wanatutambua shughuli yetu tumewakalisha sana Camp Nou na kuzimisha safar zao za matumaini ya kubeba UEFA je nyie huu mfupa mtauuweza?
 
Mtembeapo kwenye bonde la ufa la umauti msiogope PSG
Sisi wanatutambua shughuli yetu tumewakalisha sana Camp Nou na kuzimisha safar zao za matumaini ya kubeba UEFA je nyie huu mfupa mtauuweza?

Mkuu, last time Real Madrid kuwatoa PSG kwenye Champions league ilikuwa ni clean game, bao moja tu la Nacho pale Bernabéu lilitosha kuwafungasha virago wakarudi Paris. Nikukumbushe tu, ni ule msimu uliopigwa nje na ndani na Atletico. Lakini kama unataka kuongea figisu mlizowafanyia last season sawa.
 
Back
Top Bottom