Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #35,141
Varane booked
Timu ya kutegemea lolote hii hasa droo au kufungwaDah...***** hata sijamaliza kusema manina walah
Huyu varane siku hizi nae amekosa nidhamu yakukaba....Varane booked
Ramos mafanikio yamemlevya, kajaa sifa matokeo yake siku kwa siku anaporomoka kwenye nafasi yake ya ulinzi, Naona anatamani kuwa forward tu, na hero wa timu. Nidhamu ya mchezoni imepungua sana, siku hizi akicheza moyo unakudunda sababu kadi nyekundu muda wowoteUkiangalia goli tulilofungwa la kwanza...ni uzembe wa ramos...kipa kaokoa yeye kashakuwa nyuma ya kipa amesimama anamuangalia kipa badala ya mpira...hili goli la pili vile vile haijulikan beki wa mwisho ni nani....watu wanakaba kwa macho...*****...hadi napata wasiwasi wakutoshiriki UCL mwakani...
Upo sahihi kabisa...Ramos mafanikio yamemlevya, kajaa sifa matokeo yake siku kwa siku anaporomoka kwenye nafasi yake ya ulinzi, Naona anatamani kuwa forward tu, na hero wa timu. Nidhamu ya mchezoni imepungua sana, siku hizi akicheza moyo unakudunda sababu kadi nyekundu muda wowote
Zizou alipaswa apange second squad kasoro Modric na Casemiro tu.
Hilo ni tatizo sugu muda mrefu, tukipigwa counter, team inakatika sana., kama muda wote akili zipo kwenye kushambulia tu, sasa muda mwingi hili tatizo lilikuwa linafichwa na magoli tuliyokuwa tunafunga team pinzani,It's like our defense don't want to improve themselves. Absolutely astonishing how we tend to struggle at back even against mediocre attacking sides.
Hatuna afadhali hata kidogo, vijana wemekosaconfidence kabisa, Asensio ndio sijui ni nin kimemkumba, Kova ninaelewa atarudi tu bado ana kauoga cha kuumia tena,Second squad ipi, iliyotolewa Copa Del Rey?