Sasa hv tuna mizigo miwili mbele...CR7 ambaye yupo likizo yakufunga na huyu benzema ambaye hajui anafanya nini uwanjan...naamini inatakiwa sasa benzema apishe vijana huku CR7 akae kati
Bilbao asanteni sana kazi nzuri
Mmenikamatia hawa wachovu wetu hawa
Hawajui kuwa ww Spain ndo ww
Wanakuwekea mavipofu mawili golini wanaiga messi na suarez ka wanaweza vile
Waambie barca level nyingine
Waambieni hatupigani mieleka na mijeki uwanjani tunacheza mpira
Waambieni pia hatupigi makrosi yasiyo na macho
Bilbao mlitakiwa myafunge haya hayajui mpira
Sahivi ni kama daraja tu ngoja timu zije zijipigie halafu ss wababe tunapigilia msumari wa moto