pierre tall
JF-Expert Member
- Nov 5, 2013
- 4,289
- 3,847
Hiki kipigo kinauma sana....nina imani kitatuamsha...timu nzima ilikuwa kwenye utamu wakusign mikataba mipya bhana...wametuchafulia record yetu22 shots man, lakini hakuna goli.
HahahahhaaaaaaaAntonia sanabria anaipatia Betis goli dk ya 93 . 1-0
Ndio ukubwa huo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Poleni sana mashabiki wa real Madrid kipigo kama hiki huwa kinauma sana, kimenifanya hadi nikumbuke mwezi wa nne messi alichowafanya hapo hapo bernabeu.