Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Hii interview iko youtube channel ya madrid so interesting ipo na ya asensio nafikiri
Karibu tena Mkuu, wala usiwe na wasi wasi hawa vijana wanakazi ngum ya kulinda lango Lao , hope utasubir mpaka game iisheLevante piga hao. Dk ya 32 RM 0 lev 1
Bad sijaelewa mantiki ya kumchezesha Marcelo na Theo kwa wakati mmoja, kama ninaona wanakosa ule uhuru wa kuattack, afadhali angebaki nje mmoja , then Isco ama Cebellos achieve nafasi ya mmoja wao.
Ni kweli anacheza wing lakini ukiangalia kwa umakini utagundua kuwa zile move anazozianzisha akitegemea kuwa anaenda ku overlap ili amalizie kazi yake anakuta Theo tayari ameshapanda, so yeye inabid abaki nyuma,Marcelo anacheza wing mkuu. Tatizo lililokuwepo ni tumukosa umakini wa umaliziaji tu
Bado nacheki. Isco kabadilisha mambo sana.Karibu tena Mkuu, wala usiwe na wasi wasi hawa vijana wanakazi ngum ya kulinda lango Lao , hope utasubir mpaka game iishe