pig man
JF-Expert Member
- Oct 14, 2013
- 292
- 319
Kwa Madrid yetu ya sasa for sure hawa tunapiga nje ndani wote.Sina shaka kabisa, tunapiga nje ndani wote hao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa Madrid yetu ya sasa for sure hawa tunapiga nje ndani wote.Sina shaka kabisa, tunapiga nje ndani wote hao.
Hao tunatandika wote mapema sana.
Kweli kabisa man, itakuwa ni test nzuri sana kwetu, tunaanza kupata ile spirit ya ushindi kuanzia kwenye group stages.Love our group. They'll keep us awake and focused.
Sina shaka kabisa, tunapiga nje ndani wote hao.
Guys, do you know who this woman is? 🙂
![]()
Hivi Madridista wenzangu, kuna chama cha mashabiki cha madrid official hapa Tz!?
Habari nzuri sana hiyo,always bingwa lazima awe activeHii ndio thread yenye wachangiaji "active" kuliko zingine humu Jf
Toka 2014 imeanza hadi leo ni wastani 10,000 comments per year (88 comments per day).
2. Manchester united since 2007 has average of 7,390 comments per year (20 comments per day).
3. Arsenal since 2006 has average 5,070 comments per year (13 comments per day).
4. Chelsea since 2008 has average of 4,660 comments per year (12 comments per day).
5. Liverpool since 2009 has average of 4,400 comments per year (12 comments per day).
6. Barcelona since 2007 has average of 1,645 comments per year (4 comments per day).
Hii ndio thread yenye wachangiaji "active" kuliko zingine humu Jf