HT:Timu imecheza kwa kiwango cha kati,ukiangalia beki na kiungo ndo imeonyesha uhai...huku mbele hakuna kitu kabisa...beki zao hazisumbuliwi kabisa,mpira haukai kabisa mbele na wala huku mbele hatuonekani tunataka goli...ni wazi kuwa mabadiliko ya haraka yanatakiwa...
Sent from my SM-J200H using
JamiiForums mobile app