Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Bado mapema ngoja tuone kama mabadiliko yatakuwepo, huku pre season vijana hawataki majeraha ya mapema, tar 8 ndio tutaanza kuwaangalia kwa makini

Bado mapema lakini don't expect anything from Benzema na huyu Bale hawezi kuchezea game 5 bila pancha. Forward nyingine zinafunga 30+ goals per season plus assists lakini wao wapo tu pale mbele wanakimbiakimbia mpaka mabeki au midfielders wafunge magoli. Ningependa kuona forward line inajituma sio wanaokaa kusubiri set pieces tu
 
Mimi mwenyewe sina imani na Benzema kabisa. Angekuwa mswahili ningeshamuhisi labda ana kizizi. Anazingua sana. Wakati timu inahitaji ushindi yeye huwa anapoteza nafasi za kufunga na unakuta anatoa tabasamu kuonyesha kuwa he don't care. Kwangu Mimi bora James na morata wangebaki hawa jamaa wawili ( Benzema na Bale) wangesepa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
I was not so much impressed by Morata since day one lakini alikuwa anafumua game yake kwa moyo mmoja sio kama Benzema anayecheza whatever. Morata alirudi Real kibiashara sio kuwa mchezaji. James to be honest, couldn't reach the expectations japo ni mchezaji mzuri. Tuangalie mbele tunahitajii forward mtulivu kwenye box, anayeweza dribbling na kupiga kwenye target.
 
91db2cee347783bcfe700a781a24cc88.jpg
bf8f4547b7e83f16ccff19593549e516.jpg
c42105234625837f824bb09307488e47.jpg
403df8ae446ac8c4b9bc26e7e065f389.jpg
6a7093634bb6e0c397ff035981b21e90.jpg
683c546055395ad8bfe63bd94ff6937c.jpg
f2290a664b8521002d88eb12b7c54dfc.jpg

poleni watalii mlioenda kutalii USA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[HASHTAG]#Official[/HASHTAG] | The XXXVII Santiago Bernabéu Trophy will be played on 23 August at 22:45 CET against Fiorentina.

DGDa04oXoAA4tyH.jpg:large
 
Mimi mwenyewe sina imani na Benzema kabisa. Angekuwa mswahili ningeshamuhisi labda ana kizizi. Anazingua sana. Wakati timu inahitaji ushindi yeye huwa anapoteza nafasi za kufunga na unakuta anatoa tabasamu kuonyesha kuwa he don't care. Kwangu Mimi bora James na morata wangebaki hawa jamaa wawili ( Benzema na Bale) wangesepa tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha, kweli Man, sababu jamaa haonekani anachokifanya but still yupo tu tena sanaa, na ana uhakika wa namba, ni lazima ujiulize mara mbili mbili kuwa kijana ana nin cha ziada!!
Sema furaha yangu ni kuwa Asensio anakuja kwa kasi sana, na ninombea aimarike zaid ili avunje hii BBC.
 
HIZI NDIZO REKODI YA MAGOLI NA USHINDI EL CLASSICO
Summary of all matches
Real Madrid wins 97
Draws
59
Barcelona wins
111
Real Madrid goals
437
Barcelona goals
466
Total matches
267
 
Back
Top Bottom