Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Mkuu umeona bei ya tickets lakini? Kihalali ni $320 mpaka $4,000, lakini ninachoona Twitter kuna watu wamenunua tickets kwa $13.000. It's crazy
$320 sio mbaya for El classico and the game is entertaining, has pace and goals. 13k itakua VIP
 
Defense yetu ilikuwa ovyo hata kwenye last season. Msimu huu tunategemea hizi new signings mbili may be zitabadilisha mchezo
Magoli laini sana na pia bado barca wangekuwa makini tungekua tumekula 4 halafu benzema pana nafasi badala ya kutoa pasi kapiga nje so far marekebisho yanahitajika back line yetu haipo makini.
 
36' Marco Asensio

DF8aXXHXsAAoFhr.jpg


DF8aX_XW0AIJy0x.jpg


DF8aZCZWAAA5D-Q.jpg
 
Back
Top Bottom