twalib ngonyani
JF-Expert Member
- Apr 28, 2017
- 249
- 316
carvajal siku nyingine awe anasoma kwanza jezi namba ngapi mgongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
modric na ramos siku nyingine wawe wanasoma mgongoni jezi namba ngapi
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu uzi kama haukuhusu usichangie chochote![]()
carvajal siku nyingine awe anasoma kwanza jezi namba ngapi mgongoni
Sent using Jamii Forums mobile app
Japokuwa bado ni pre season, bado huyu jamaa na Bale sijawaelewa kabisa, hope watabadilika kuanzia hiyo tar 8 against United ,Mkuu vipi Benzema ametuliatulia leo au ndio zake yaani mpaka abahatishe
Huyu kijana anajitahid sana, atleast alinipa furaha pamoja na Kovacic, hicho ndio unatarajia kwa team kama Real Madrid wafanye japokuwa ni maandalizi tu, ila we have to show our character hata kama tutafungwa, this time team ime improve kidogo japokuwa kwenye defence kuna kazi ya ziada ya kufanya, Bado vijana wanapishana sana.GOAAAAAAAAAAAAAAAAAAL ASENSIOOOOOOOO!!!
ASENSIO HAS EQUALIZED FOR REAL MADRID.
WHAT A BRILLIANT COUNTER ATTACK!
Hahaha, Mkuu bado hujawazoea tu hawa vijana, wapo hivyo kila siku hawatakaa wabadilike, so wachukulie tu poa
Vijana walijisahau sana hapa kwa kweli, huwezi kumsahau Pique kwenye set pieces, amekuwa akitufunga magoli ya hiv sana, ninadhan super cup tutabadilikaPIQUE SCORES A SET-PIECE.
Real Madrid 2-3 the Catalans
Huwa nafurahi sana kusoma comments za mashabiki wa Madrid wanapofungwa na Barca. Mwaka huu tunawapiga mechi zoteVijana walijisahau sana hapa kwa kweli, huwezi kumsahau Pique kwenye set pieces, amekuwa akitufunga magoli ya hiv sana, ninadhan super cup tutabadilika
Mkuu umeona bei ya tickets lakini? Kihalali ni $320 mpaka $4,000, lakini ninachoona Twitter kuna watu wamenunua tickets kwa $13.000. It's crazy
Hahaha, kijana alimlambisha sakafu mtu mzima, Kama ilikuwa ni beki wetu amesoteshwa hivyo huko kwa social media pasingelika Leo, magoli yote ya jana mabeki zao walilamba mchanga.Top lad. This kid is headed for greatness.
![]()
![]()
![]()
Japokuwa bado ni pre season, bado huyu jamaa na Bale sijawaelewa kabisa, hope watabadilika kuanzia hiyo tar 8 against United ,
Hahaha, kijana alimlambisha sakafu mtu mzima, Kama ilikuwa ni beki wetu amesoteshwa hivyo huko kwa social media pasingelika Leo, magoli yote ya jana mabeki zao walilamba mchanga.
Asensio na Kovacic walikuwa na siku nzuri kwa kweli!!
Bado mapema ngoja tuone kama mabadiliko yatakuwepo, huku pre season vijana hawataki majeraha ya mapema, tar 8 ndio tutaanza kuwaangalia kwa makiniIle forward line inatia majonzi kwa kweli, Zidane asipoangalia hawa wakina Benzema ndio itakuwa exit door yake kama Ancelotti asituletee ujinga.