Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,360
Ni habar njema sana kwa kweli!! nimeipokea kwa mikono miwili kwa kweli!! Anahitajika sana huyu mtu,uwepo wake utasaidia sana team kupandisha mashambulizi, hope atakuwa tayari kuanza!!Great News... Dani Carvajal says he's 100% ready for the final.![]()
