Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Marca's Cover | Del Piero: "Buffon is crazy to win the Champions."

DA-n185XYAAVHea.jpg:large

Huyo Buffon awe makini...akilikosa hilo taji la UEFA asije akawehuka Tu.
 

Sawa mkuu...shukuruni Cr7 alivyomuachia Leo10 aongoze goals za ligi msimu huu ulioisha kutokana na yale majeruhi ya EURO 2016 Yalifanya aanze msimu vibaya na hii ndo imemsaidia LEO10 kutwaa icho kiatu hapo...so far KATIKA HIYO DUO KILA MMOJA AMESAWAZISHA RECORD YA MWENZAKE MSIMU HUU..."MESSI AMEFIKIA RECORD YA RONALDO YA VIATU VINNE VYA DHAHABU...WAKATI HUOHUO RONALDO AMEFIKIA RECORD YA MESSI YA HAT-TRICKS 7 KWENYE UEFA NA BADO AKICHUKUA UEFA TITTLE MSIMU HUU PIA ATAKUWA AMEFIKIA RECORD YA MESSI YA KUBEBA NDOO NNE ZA UEFA"...NA AKIFANIKIWA KUPATA GOLI MOJA TU UEFA ATAPEWA TUZO YA MFUNGAJI BORA MAANA KING WENU MADEVU AMEZIDIWA ASSISTS TATU NA Cr7....Hivyo Cr7 Hajapoteza sana na najua hawezi Fanya ujinga kwenye final maana mwenzie tayari kashachukua Award hiyo na anafahamu akibeba UEFA na kuwa mfungaji bora Wa UEFA kutamuongezea ushindani kweny Ballon D'or dhidi ya mwenzie mwakani...ukizingatia alikuwa na msimu mbaya kwa ufungaji mwanzoni mwa ligi na hii ndo ilipelekea Messi kushika hatamu ya Ufungaji Bora LaLiga 2016/2017...Kwa hiyo Ronaldo macho yake yote ameyaweka UCL Kwa sasa.
 
Cristiano Ronaldo...hadi sasa anashikilia record ya kuwa MCHEZAJI PEKEE MWENYE ASILI YA EUROPE KUSHINDA Balloon D'or 4.

ronaldo-ballon-dor-top-european-winners_1ko1uop7nmt2f1e2z8pbftd04y.png
 
4b975ec6f783d2a46b6321b73c16a7e7.jpg

kazi ya perez imeoneka hongera kwake na marefa kwa kuisaidia colonial team

Ata hivyo kihistoria REAL AMEBEBA MAKOMBE MENGI KWENYE LIGI KULIKO BARCA...ATA BARCA AKIPEWA TROPHIES ZA LIGI NANE BURE HAMFIKII RECORD YETU...Na hii inamaanisha huu ukame wa trophies za ligi ambao Real anaupitia hivi sasa...ata nyie mliupitia tena kwa misimu isiyopungua 9...mkiwa runners Tu.

5f6d509f61abb3f376deb57fc7c79ae4.jpg
 
Zidane's interview to Real Madrid TV.

"We deserve to be in the final and the team is going in to it in very good physical shape and we’re confident."

Juventus
"They have got a lot of good players, but in offensive terms Dybala is one of the best. Higuaín and Alves are also good. The same goes for Real Madrid. They’re all good".

Pressure in the final?
"The pressure is more noticeable, for sure. That says a lot about this game but everyone likes to play in finals. Everyone likes them. We are in another Champions League final and it’s very nice. We're going to prepare well for it"

Real Madrid values
"We know: commitment, we do everything possible to win. It was the best club of the last century and now has 115 years of history. You can play well or badly, but the important thing is to fight until the last minute."

Double
"It’s been thanks to the work throughout the whole year. When you work hard at the end you get the rewards like this, but we have not won anything yet".

Bale
"We’re happy that he is with us because he is an important player. I'm glad to see he’s recovered. We’re going to prepare for the match together, as always, and we’re all prepared".

Bale or Isco?
"The decision is difficult because everyone is available and I will have to choose between the entire squad. We know what we’re going to do and the important thing is to be prepared and focused".

Isco
"He deserves it just like the rest."

The season
"The most important thing is to always give 100%. That’s how we have done things during the season, giving everything, with a lot of professionalism and we can be happy for what we have done until now."

His future
"I have one more year on my contract but that doesn’t mean anything. I want to be at this club but it depends on what you do on the field. I think the club is happy with what we’re doing and I’m only interested in that. The future: Saturday and nothing else".

"I have the Real Madrid DNA, that's for sure. It’s my home. Everyone has always been very affectionate towards me and I have always defended the values of this club. I’ve experienced spectacular things with this club as a player, assistant coach and head coach. I’ll always be a Real Madrid fan because the club is my life".

Zidane style on the bench
"It's just a philosophy and a thing I wanted to do with this team and this squad. What the players are doing is phenomenal".

"I’m enjoying this moment because I know that one day it’ll end. I’m on top of my job and we’re close to doing something extraordinary, but I’m not thinking about of leaving an important mark in the history of the club. We work hard and that's the spirit of this team".

Stories about Cristiano Ronaldo
"No one likes it when people talk about his players and he doesn’t like it either, but he knows how to disconnect and focuses on the Champions League. He's focused on what he has to do and that's it".

James
"He looks good to me, he's focused and concentrating on what he has to do. A player like him would have liked to have played more this season, but I have to decide. He’s been very important throughout the season and when he’s played, he’s done very well".

18739953_1612383498786404_6564525148586572929_n.jpg
 
Those who are on bandwagon of "Buffon deserves ballon d'or" must know that Casillas never won Ballon d'Or, having won pretty much everything with club & country yet he never got the ballon d'or for his efforts.
 
MARCA | Pepe has promised to wait until the final moment for a new offer from the club, but time is running out.

18881848_1612214978803256_7111922063485146753_n.jpg
 
Open Media Day was attended by 126 media outlets, 80 of them international, and 279 journalists from three continents.

DBE7msXW0AEqr4Z.jpg:large
 
As's Cover | "Allegri: Isco is much more technical than Bale."

DBD515xW0AA2qI7.jpg

Naona jamaa watakuwa wamecheck mechi zetu na kuevaluate wachezaji wetu maana hiyo ishu ya Isco hadi chiellini alishasema anamuhofia zaidi Isco na nimeona mitandaoni hadi italian media zikimdiscuss Isco,ila yupo sahihi maana Isco has got some Technics...bale ana speed sana(hili linafahamika kutokana na timu aliyotokea Spurs wana mchezo wa speed) lakini amekosa some technics...but in many occasions speed yake imetusaidia sana.
 
Those who are on bandwagon of "Buffon deserves ballon d'or" must know that Casillas never won Ballon d'Or, having won pretty much everything with club & country yet he never got the ballon d'or for his efforts.

Mkuu nimeona hiyo kitu mitandaoni...yani hao ni mashabiki Wa Barca...na wanasema hayo baada ya kuona Ronaldo ameshafanya some wonders na imebaki tu champion league tittle itakayompa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo hasa akiwa pia mfungaji bora Wa michuano hiyo,Hao jamaa wanashangaza walianza kwenye LaLiga wakisema Forca Sevilla...tulivyowapiga Sevilla wakaamia Forca Celta...tulivyowapiga Celta...Wakaamia Forca Malaga...tulivyowapiga Malaga na kuchukua league tittle...wameamia Forca Juve kwenye UEFA-Final nasasa Forca Buffon Kwenye Ballon D'or ili tu Cristiano asiipate hiyo tuzo...hatari sana hao watu!
 
Mkuu nimeona hiyo kitu mitandaoni...yani hao ni mashabiki Wa Barca...na wanasema hayo baada ya kuona Ronaldo ameshafanya some wonders na imebaki tu champion league tittle itakayompa nafasi kubwa ya kunyakua tuzo hiyo hasa akiwa pia mfungaji bora Wa michuano hiyo,Hao jamaa wanashangaza walianza kwenye LaLiga wakisema Forca Sevilla...tulivyowapiga Sevilla wakaamia Forca Celta...tulivyowapiga Celta...Wakaamia Forca Malaga...tulivyowapiga Malaga na kuchukua league tittle...wameamia Forca Juve kwenye UEFA-Final nasasa Forca Buffon Kwenye Ballon D'or ili tu Cristiano asiipate hiyo tuzo...hatari sana hao watu!

Mwaka 2013 Emanuel Nueur alishinda UEFA, Bundesliga na Cup
Triple ila ballon D'or
Alishinda Ronaldo
Messi wa pili
Neuer wa tatu
 
Back
Top Bottom