nimekusitukia. utakuwa mlengo wa kushotoMALAGA SO CLOSE !!!!
77' MGA 0-2 RMA
[HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
UCL tusha izoeaKama la lga tuna fujo hv, tukpata hyo uefa majran watajuta kyanan.
Utapata ugonjwa wa moyo huko kimbia, mwenye team hana hata mapenzi ya mpira yuko ki biashara zaidi.Mimi ni Arsenal mkuu, hihiiiiiiii
Hahahahaaa Jamaa Ukija kwetu Fujoo Huku Kwako Piaa Fujoo Ninii Asee LakiniiMkuu karibu tusherehekee [HASHTAG]#PAMOJA[/HASHTAG]...Afterall WACHA MANENO Weka TROPHIES...BlahBlahBlah!!!...Hatutaki kusikia hapa,We're the LaLiga Giants...How is Barca Now???... Ooh!..feeling Sorry for you..