HAKUNA WA KUMZUIA CR7 NA HAKUNA WA KUWAZUIA REAL MADRID MWAKA HUU...
NA NASEMA WA DHATI YA MOYO WANGU KABISA NTAFUTENI BAADA YA MWEZI MMOJA KWAMBA BINGWA WA HISPANIA NI REAL MADRID NA BINGWA WA UEFA NI REAL MADRID
Ancelloti alishindwa kufanya rotation,hii rotation imemsaidia sana Zidane.Msimu unaisha lakini wachezaji bado wako fit na wachezaji karibia wote wametoa mchango kwenye mafanikio ya timu