Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Walitusema sana kwamba Bayern atatuoa tukagawa kipigo heavy tena nje/ndani wakazuga tumebebwa wakati uefa hawana historia ya kumbeba mtu achukue double

Tukapangiwa hivi vituko vya leo bado hawakukoma kutusakama kwamba...hooo hawa ndo safari yenu...kiko wapi!!!!?na waipate habari kwamba kipigo kingine kipo Kule kule v.carderlon 3 zingine
 
caa5a00fac7be1ca709737423f9b75da.jpg

A real pass master
 
Me nawaambia kila siku huwezi mfananisha Cr7 Na zombie la mtaa wa pili kule.
Cr7 kacheza EPL bwana
Wazee wa offside.

Ushabiki wa kitoto ndo huu,basi Barton ni bora kuliko Xavi kwa sababu amecheza Epl

Ronaldo ni goal machine ila kiuchezaj huwezi at tottal huwezi mlinganisha na Messi

All in all hongereni kwa kuwazaba wapinzani wenu,hongera cr7 kwa kuzidi kuonesha umahiri uliokomaa katika swala la kupasia nyavu
 
Wivu huyo we na mess mtajibeba!
 
Hongeren sana madrista kwa kupasia nyavu Mara Tatu...Kaz nzur sana ya ton kroos Marcelo na Vazquez huku Ronaldo akimalizia kirahic kamba zake

Sent from my E2303 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom