Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

This was Real Madrid's first Clean Sheet in the Champions League this season!!

18301108_1586035564754531_8254610626068031784_n.jpg
 
Roberto Carlos: "The president will decide on transfers but we definitely could sign him. Dele Alli is undoubtedly good enough for Real.”

18198547_1586038544754233_1398081413285516076_n.jpg
 
Carvajal out for the remaining of the season, might make it to the UCL Final if Real qualifies. [MARCA]
 
Galatasaray have offered Pepe a contract worth €5 million-a-year - net. The player's minders have responded positively.

_n0y0711.jpg
 
Naona jana Ronaldo baada ya game wakambanisha wakaenda kumpima kama katumia madawa ya kuongeza nguvu
 
Naona jana Ronaldo baada ya game wakambanisha wakaenda kumpima kama katumia madawa ya kuongeza nguvu
Hahaha, kama kawaida, hao wajamaa wana kazi ya kuvizia wachezaji, last time Casemiro ndio alikukumbwa na hilo seke seke kule Munich!! na vipimo vikitoka watuambie.
 
kajiandae
Juve hatuwaogopi , kwanza huko nyuma Real Madrid wanapokutana na Juventus kila timu inashinda nyumbani kwao ,sema juve walikuwa wanapita kwa goli la ugenini ! Sasa fainali hakuna goli la ugenini wala marudiano. Hapo tutajua ni nani mbabe sasa!
Easy, jibu ni kwamba with Ronaldo playing we beat Atleti at Calderon 0-3.
 
Sioni Atletico wakicheza tofauti na walivyofanya pale Bernabeu!! Yaani wakijitahidi saana wataambulia droo!! Nina imani sana na vijana wangu!!


Atleti wanampango wa kupiga buti, kuprovoke na kuharibu game. Watu kama Ramos wasipoangalia watapewa Red Card ndio itakuwa advantage kwao. Siku hiyo inatakiwa 100% focus, calmness na kutumia vizuri nafasi zote. Watu kama Benzema wana haki ya kuchoma mahindi siku hiyo hakuna kubahatisha.
 
Back
Top Bottom