PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 13,262
- 22,143
Kwa Jirani huko roho zinawauma saana
Kwa Jirani huko roho zinawauma saana
lazima roho zituume hasa mimi.. Dah! Tena ronaldo kapiga hatrickKwa Jirani huko roho zinawauma saana
angekuwa messi kungekuwa na thread 5 sasa ivi za Messi tuMtaa wa pili wamenuna sana
Karibu tena Mkuu, tuendelee kuambatana hivyo hivyo,Hongereni wakuu. Mmekinukisha. Zidane ataingia kwenye haĺl of fame ya makocha.
Hongera sana kwa ubashiri wako.
Hongereni wakuu. Mmekinukisha. Zidane ataingia kwenye haĺl of fame ya makocha.


hala madriiiiid! Y Nada mas
Ronaldooooo.! My man just gave a hat trick!hala madriiiiid! Y Nada mas
![]()







km uefa wanafanyaga njama za kuzitoa timu zilizochukua kombe msimu uliopita ili zisichukue tena kwa mfululizo kwa hawa jamaa wamegonga mwamba,wakawasaidie tu barca kulima matikiti maji kule catalunya hihihihihiiii![]()
