Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

Real Madrid (‎Los Blancos) | Special Thread

FULL TIME: Real Madrid 2-3 Barcelona (Casemiro 28', Jamesd 85'; Messi 33', 90'+2', Rakitic 73').

C-H_Wt_WAAUwxP6.jpg:large
 
Very sad ending!! nimechoka sana, anyway lack of concentration dk za mwisho kabisa, nafuu Modric angemfanyia faulo Sergi roberto pale mwanzo kabisa!!


Ni kweli lack of concentration, hata Ronaldo pale mpira ulipotoka angeanza kukaba badala ya kujifanya ye ndio kocha. Walikuwa wanaangalia jinsi ya kufunga goli jingine wakajisahau. Few seconds zinaweza kuharibu all the season. Nashangaa kwanini tunaruhusu magoli mengi hivi kila mechi?
 
Vijana wetu wametuvurugia usiku wetu acha kabisa, ila Zidane amezingua kuanzia kwnye selection yake, kutoka kwa Bale mwanzoni kumetuharibia plan zetu!! Kilichobaki hapa ni kupigana kweli kweli game zilizobaki.
yaan bos watu wananigongea hapa gheto kama nimeiba ila nimechuna kimyaaaa.
nashindwa had kichambua mechi yaan

OMG!!
 
Back
Top Bottom