Cesar Caspar
JF-Expert Member
- Jul 31, 2015
- 3,703
- 6,363
Wamejitahid kujikakamua, wajaribu tena Siku nyingine, tuambatane tena Mkuu kweny game na Leganes hiyo Jumatano.hawa Alaves watepetevu sana kwenye finishing. ila wamepiga mpira wa kiume.
Wamejitahid kujikakamua, wajaribu tena Siku nyingine, tuambatane tena Mkuu kweny game na Leganes hiyo Jumatano.hawa Alaves watepetevu sana kwenye finishing. ila wamepiga mpira wa kiume.
ntakuwepo mkuu, performance yenu inafanya mechi yoyote inakuwa ngumu. kwahiyo nina matumaini kuwa Leganes watawasimamisha.Wamejitahid kujikakamua, wajaribu tena Siku nyingine, tuambatane tena Mkuu kweny game na Leganes hiyo Jumatano.
Kabisa Mkuu, yaani muda wote unakuwa na wasi wasi kuwa tunafungwa, cha ajabu game na Atletico ama Bayern wanaweza kukaza kinoma, sijui hawa watu wadharau game au ni nin!!We won the game, but honestly it was a below performance.We really need to improve cause we have some tough games coming up.
Sawa sawa Mkuu!! Karibu sana, ni kweli ila unapocheza na Real Madrid hutakiwa kufanya makosa kama ukipata nafasi ya kutufunga, sababu sie dk kadhaa tu tunakubadilikia. Ishu ya performance sio ishu sana kwetu japokuwa haitupendezi. Mwisho wa siku point 3 ndio muhimu.ntakuwepo mkuu, performance yenu inafanya mechi yoyote inakuwa ngumu. kwahiyo nina matumaini kuwa Leganes watawasimamisha.
Majukum tu ya kujenga Taifa Mkuu ndio yalisababisha wengine tusitokeze huku jana!! Shukran sana Mkuu kwa kuendelea kufuatilia game zetu!! Karibu tena Jumamosi.wakuu leo mmeenda wapi?
Celta tunacheza nao loni?
Ninaona hii haikwepeki, hope wembe utakuwa ni ule ule kuwanyoa hao atletico, kapresha kapo ila ushindi ninauona!! [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]