Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #26,641
There are talks ongoing to renew Sergio Ramos' contract. He could become the second best paid player in the Real Madrid squad. [Jugones]
Duuh, hii kali sasa kuji-offer!!?MARCA | Otamendi offers himself to Real Madrid given Pepe's likely departure.
![]()
Ila jamaa si beki wa kiwango ya MadridMARCA | Otamendi offers himself to Real Madrid given Pepe's likely departure.
![]()
Niliangalia highlight ya game yao dhidi ya Mexico, nilishindwa kuelewa ni nin kimemkumba Navas kwa kweli, ninaona kabisa akiondoka au akikalia benchi msimu ujao. Ninadhan kadri siku zinavyosonga na confidence yake inaendelea kushuka, bahati mbaya anahitajika kuwa katika kiwango cha juu sana mwezi ujao wa 4 kutokana na upinzan tutaokutana nao.Navas' error against Mexico yesterday is Unreal. How much he has declined in the span of 1 year. Can't be Real's #1 next season.
Kwasasa anahitajika beki mtulivu, anayecheza kwa akili, huyu jamaa saa nyingine anakuwaga a wenge kama Ramos.Ila jamaa si beki wa kiwango ya Madrid
Sidhan kama twapasa kumchukua
Tumchukie De Gea, Mourinho anaweza kumuuza kwa sasaNiliangalia highlight ya game yao dhidi ya Mexico, nilishindwa kuelewa ni nin kimemkumba Navas kwa kweli, ninaona kabisa akiondoka au akikalia benchi msimu ujao. Ninadhan kadri siku zinavyosonga na confidence yake inaendelea kushuka, bahati mbaya anahitajika kuwa katika kiwango cha juu sana mwezi ujao wa 4 kutokana na upinzan tutaokutana nao.
Yule anaweza kuja, ila itabid tutoe pesa ndefu kweli. Na De Gea mwenyew anatamani sana kuvaa uzi mweupe, Kazi kwa Perez kuhakikisha hayatatokea ya kipnd kile.Tumchukie De Gea, Mourinho anaweza kumuuza kwa sasa
Safi sana, wenzetu huwa wanapenda maendeleo ya vijana wao sana, hapo bado Marcelo na Dani, hawa vijana tunawahitaji sana mwezi huu wa 4, sababu kuna game nyingi sana za muhimu. Hope watarudi salama.Toni Kroos, Modric and Bale's international duty comes to an end. All of them fine.