Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #26,601
Casemiro picked up fifth yellow card and will miss the game against Alaves
Msimu huu nimeangalia game nyingi sana za Alaves ili tu kuona Dogo anavyomiliki dimba la kati, anajitahid sana, ni mbadala mzuri tu wa Casemiro!!Marcos Llorente vs Real Sociedad yesterday (Alaves won 1-0)
Ball RECOVERIES : 20
Passes (acc.): 55 (87.3%)
Dribble Completed: 2
Duels (won): 17 (12)
Tackles: 9
He's the one midfielder Spain will be talking about next season, when he returns to Madrid.
According to your percption and sam khedira,madrid will remian the best than its competitors najivunia kuwa fans wa hii club,wewe nenda kule jukwaa lako.HALA MADRIDDDDso kwa mujibu wa sami khedira, mashabiki wote wa madrid ni mabashite, wazee wa zero, UNEDUCATED, groly hunters
![]()
![]()
Huyo alikuwa treated sivyo kabisa na sio khedira tu hata legend casillas alidhalilishwaHuyo anaumia kutoka madrid,hakuna lingine
Some of them, wengine wapo humu humu wanajikuta wanajua mpira kuliko Zidane, huwa nawaangalia alafu nacheka sana... Khedira wacha alalamike ni kweli Madrid is the Best club of football to ever grace the pitch but its a shame how some of the Fans behave....Huyo alikuwa treated sivyo kabisa na sio khedira tu hata legend casillas alidhalilishwa
Cr7 mwenyewe anazomewa na kupigiwa miluzi
Mashabiki wa Madrid ni crap
Hahaha, jamaa bado ana machungu ya kuondoka Madrid, wenzake pia wanauchungu kama yeye na wengine wanajutia, ni mambo ya kawaida katika mpira wa miguu.so kwa mujibu wa sami khedira, mashabiki wote wa madrid ni mabashite, wazee wa zero, UNEDUCATED, groly hunters
![]()
![]()
so kwa mujibu wa sami khedira, mashabiki wote wa madrid ni mabashite, wazee wa zero, UNEDUCATED, groly hunters
![]()
![]()