Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #25,061
Marco Asensio is 21 today
Vamos Real!! Ushindi Leo ni muhimu kwa ajili ya kuboost morale ya vijana wetu, hope leo tutashangilia tena.Real Madrid's XI: Navas, Nacho, Varane, Ramos, Marcelo, Kroos, Casemiro, Modric, Vazquez, Benzema & Cristiano. [HASHTAG]#HalaMadrid[/HASHTAG]
Vamos Real!! Ushindi Leo ni muhimu kwa ajili ya kuboost morale ya vijana wetu, hope leo tutashangilia tena.
Ninaona Nacho ameaminiwa mbadala wa Danilo. Ni vizur sababu Danilo mwenyew amekuwa ni tatizo kweli kweli!!
Yaani yule anasubir msimu uishe atembee, mtu haonyeshi hata kubadilika bana!!Poor Danilo, sasa kama yeye mwenye namba yake anapewa bench sasa anasubiri nini tena pale?