Salamander
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 28,536
- 15,751
- Thread starter
- #25,101
Marcelo after he was subbed due to injury
Ukabaji wetu sio mzuri hata kidogo.
Beki yetu Inakatika sana tukishambuliwa, haswa tukipoteza mpira katika eneo letu!!Ukabaji wetu sio mzuri hata kidogo.
Kocha lazima abadilishe hii mbinu.Mkuu kama huijui Real Madrid. Defenders wote wanaenda juu, ukija mpira wote wanarudi mbio hata mpira ukiokolewa, rebound lazima tupigwe, si umeona hata Celta Vigo
Si nimekwambia ovyo huyo atoke tu Daah anaudhi yaanisasa pale Ronaldo alikuwa na haraka gani? Yaani sijui ni kitu gani kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa watu!!
sasa pale Ronaldo alikuwa na haraka gani? Yaani sijui ni kitu gani kinachoendelea kwenye vichwa vya hawa watu!!