Red Giant
JF-Expert Member
- Mar 9, 2012
- 15,650
- 20,994
pia mtamkosa Carvajal kwa mwezi. mambo yatakuwa siyo vutizi. ila Morata alichangamsha timu sana.Duh, tumepigwa tena home!?..Bale rudi hali ni mbaya huku. Halafu Zizou sasa hivi abadilike Morata,Asensio awape nafasi zaidi siku ambazo BBC wanakuwa hawapo njema.